Hivi Unafikiri Hapa Kipanya Anamaanisha Nini!?

nyumbatatu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,076
938
Kwa upande wangu nimeelewa kitendo bila kuchelewa "decision making style",
IMG-20180720-WA0001.jpg
 
Who let the dogs out

Whoof
Whoof
Whoof

Enzi za utoto hatujui kiingereza tulikua tunaimba

Whulieke boba
Whuu
Whuu
Whuu

Utoto raha sana
 
Hapo nimeelewa jiwe ni mtu wa kuamua na kufanya, japo kuna ushauri mdogo mdogo anaupitiliza anakuwa hapati ushauri kamili kutoka kwenye timu yake ambayo either haipo, au iko kimya inaogopa kumpa challenge so hana side B kwa kila jambo yeye ni side A tu
 
Anamaanisha 2019_kuna chaguzi serikali za mitaa
2020-Uchaguzi mkuu,kwa hiyo jiwe atapata kiki ya hatari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom