Ni mfatiliaji mzuri wa redio Magic Fm Ila ni muda sasa sijafanikiwa kuwapata hewani hapa makao makuu ya nchi pendwa Tanzania. Napata tabu kujua .je wamebadili frequencies au kuna shida ya kiufundi...
Hili ni kama tatizo sugu ama 'donda ndugu' !
Tuna maji ya kutosha.Ardhi yenye rutuba ndo usiseme. Kila kitu kipo kasoro tu tuhela tudogo twa kulipa nyapara huko shambani.
Yaani mtu anakubali...
ni huyu huyu ibilisi shetani tunayefanya naye kolabo nyingi tu kuanzia kwenye simu zetu, yale mambo ya ajabu ajabu tuliyoyahifadhi tena sometimes kwa kuhofia kuonwa na watoto au wenzi wetu nk...
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema, wafanyakazi wake wawili waliokamatwa hawakuiba data au kudukua taarifa za wateja, ila walihujumu malipo yaliyofanywa na wateja wa shirika hilo...
Bila kupoteza muda hakuna asiyejua umuhimu wa mtanzania huyu naomba serikali imuajiri MTU huyu maana ni muhimu mnooo
Na ili kuondoa conflict of interest maxence akabidhi uongozi wa jf kwa wengine...
Kama kichwa cha habari kinavosema, ni kweli kabisa kuna madhara makubwa sana kujua jambo/mambo yanayokuzunguka, hapa nitagusia mambo machache ambayo mengine mengi yataongezeka kwenye comment zetu...
Naona Mheshimiwa Makonda anakuja na mbinu mbalimbali za kufanya Jiji Liwe safi,Nampongeza ila nafikiri pia kumshauri.
Najua kuwa anausoma uzi huu au kuna watu watausoma na kumjulisha kuhusu...
Habari wanajf
Kuna mtu anatumia halotel amewahi kukumbwa na hii kadhia ya msg kufeli japo delivery report inaleta majibu??
HALOTEL VAS nina muda mrefu sasa huu mchezo kwangu umekua mazoea, mtu...
Hakuna kitu chochote atakachokifanya Mzungu pasipo kutafuta faida binafsi ... ebu chunguza haya ...
1. Kueneza dini ..
Kusudi lao kubwa lilikuwa ni kutufanya mbumbumbu ili watuingie vizuri na...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha akishrikiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo mwezi uliopita waliwafukuza kwenye nyumba za serikali (shule) wafanyakazi Arusha...
Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limefanikiwa kuwakamata akinamama watatu wakiwa wanawauzia wanafunzi wa shule ya Sekondari Bangi na watafikishwa mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.
Pwani. Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwenda katika kiwanda kinachotengeneza marumaru (Tiles) cha Goodwill kukagua gharama za...
Ukweli usemwe tu!
nimetembea mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam haswa haswa ile iliyokuwa ikiongoza kwa uchafu hakika nimeanza kuona mabadiliko.
Kwa sasa unaweza kuona aibu kutupa uchafu hovyo...
natumani mko salama wote.
Naomba wataalam wa sheria Jumamosi tarehe 14 nilipigiwa simu na polisi na kuambiwa simu nayoitumia ni ya wizi hivyo wanaomba ushirikiano wangu. Mimi kwa vile ile simu...
Nilipita Tabata Magengeni Jana nikanunua kg. moja ya nyama. Nilipoanza kuiandaa nikasikia harufu isiyo ya kawaida! Ni kama ile ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Chonde chonde TFDA (na TBS)...
Siku 11 baada ya Phaustine Kasike kuteuliwa kuwa kamishna jenerali wa Magereza, kiongozi huyo amefanya mabadiliko ya wakuu wa magereza nchini.
Kasike aliteuliwa Julai 13 na Rais John Magufuli...
Mimi sio mwandishi wa habari lakini sielewi kwa nini wandishi wanapotosha jamii kiasi hiki
Mtu hupata maarifa kutokana na vyanzo mbalimbali,miongoni mwa vyanzo vya maarifa ni magazeti...
Napoandika haya sio kuwa najua sana ila kias nachojua nashirikisha wanajamii wenzangu.. Nlipokosea tukosoane tufundishane ili kuongeza uelewa kwa wengine...
.
Mafanikio ni kama chakula...
Ukaguzi huo ulifanyika jana na uliongozwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah lengo likiwa ni kumaliza ajali za barabarani zisizo za lazima na kusema kuwa uperesheni hii ni...
Ndugu wanajamvi,
Natambua kuwa baadhi ya JF members wanapata matibabu Yao katika kituo tajwa hapo juu. Hivi karibuni kumekuwa na mabadiliko makubwa ya kitabia Kwa wahudumu wa kituo hiki cha afya...