mdaumzalendo1
Member
- Feb 2, 2018
- 76
- 50
Naona Mheshimiwa Makonda anakuja na mbinu mbalimbali za kufanya Jiji Liwe safi,Nampongeza ila nafikiri pia kumshauri.
Najua kuwa anausoma uzi huu au kuna watu watausoma na kumjulisha kuhusu ushauri wangu.
Kwanza hii habari ya kuwa na magari ya takataka ambayo yanapita mitaani mara moja kwa wiki naona bado haiwezeshi mji kuwa safi.Nimshauri tu kuwa afanye yafuatayo.
Aanze kwa kuweka matank makubwa ya taka yale yanayoweza kubebwa na magari katika kila mtaa.Naambia Dar kuna kata kama 120 hivi na kama kila kata ikiwekewa hayo mapipa matano yatakuwa jumla ya mapipa 600.Kila pipa wakiwekwa vijana wawili kusimamia na kisha vijana wengine wakajisajili kama wazoa taka tuseme vijana 20 wakipita mitaani kuokota taka na kisha kila halmashauri ikawa na magari matano ya kuzoa haya mapipa na kwenda nayo kwenye dampo kuu kumwaga takataka kwa ujumla tutakuwa tumeua ndege tano kwa jiwe moja.
Kwanza atatengeneza ajira 1200 za wasimamizi wa mapipa.Ajira 12000 za wazoa taka huko mitaani.Ajira 100 za madereva wa magari ya taka pamoja na wasaidizi wao.Jumla zitakuwa ni ajira 13300 zitakazozalishwa na mradi huu.
Hayao Mapipa makubwa yanaweza kugharimu kama milioni 10 kila moja kwa matank 600 ni 6,000,000,000 pamoja na magari yake 50 ambayo kila moja ni kama milion 40 jumla 2,000,000,000 jumla ni bilioni 8 hivi.
Kwa upande wa mapato,wakiwachaji wananch shilingi 1000 kwa wiki jumla watapa bilioni moja kwa wiki kukusanya taka kwa wakazi milioni moja tu.Wakiwalipa watu wote wanohusika katika mradi kiasi wastani cha 70,000 kwa wiki gharama itakuwa ni milion 931.
Faida itakayobaki mkoani ni milioni 70 kwa wiki
Nimshauri bwana makonda kwamba huu ni ushauri wa bure na kama hana mtu anayeweza kuusimamia huo mradi basi nimuombe appointment mwezi ujao tulifanyie kazi hili swala.
Kwa pamoja tunaweza kulifanya jiji letu liwe safi.Usafi unaanza na wewe.