Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,819
- 730,198
Ni huyo huyo tunaambaa naye mpaka makazini kwetu tukimuomba msaada kupitia mawakala wake waliotapakaa kila kona ili tupandishwe vyeo ama tubaki kwenye nafasi tulizo nazo, ama tumuondoe fulani ili urithi nafasi yake
Tuko naye bega kwa bega mpaka kwenye kutaka mafanikio ya haraka, umaarufu mahusiano mpaka bahati na ngekewa.... Huu ni upande wake wa kwanza adui rafiki
Ukisha compromise na shetani mambo yako yatarudi kwenye mstari tena.... Lakini kumbuka ATARUDI TENA
Ya kafara hulindwa na kafara