Kwa wapenzi wa Radio MAGIC FM mikoani

Kwa wapenzi wa Radio MAGIC FM mikoani

Lucos Annody

Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
38
Reaction score
8
Ni mfatiliaji mzuri wa redio Magic Fm Ila ni muda sasa sijafanikiwa kuwapata hewani hapa makao makuu ya nchi pendwa Tanzania. Napata tabu kujua .je wamebadili frequencies au kuna shida ya kiufundi au ni nn. Mwenye mawazo au frequency zake kwa dodoma tafadhali.
 
Back
Top Bottom