Maoni Yangu: Serikali imuajiri Maxence Melo wa JF

Maoni Yangu: Serikali imuajiri Maxence Melo wa JF

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,593
Reaction score
43,023
Bila kupoteza muda hakuna asiyejua umuhimu wa mtanzania huyu naomba serikali imuajiri MTU huyu maana ni muhimu mnooo

Na ili kuondoa conflict of interest maxence akabidhi uongozi wa jf kwa wengine abaki kuwa mtumishi wa umma

Nimeona memba wengi wamenipiñga kwenye hii hoja yangu lakini Mimi naiona jf kama ni brand halisi ya Tanzania kama ilivyo safari lager na bidhaa ñyingine zinazotengenezwa Tanzania

Mathalani nikiwauliza member jamiiforum wanaitazama kama Mali ya MTU binafsi comred melo au wanaitazama kama Mali na bidhaa ya watazania?

Binafsi nadhani serikali ingejinasibisha na kuiacha ishamiri jf ili iwe alama ya demokrasia ya watanzania kuisimamia serikali yao kuliko kuiwekea vikwazo kwa kufanya hivyo sifa zingeiendea tz na sio MTU binafsi melo anyway kuhusu kupungua ufanisi ni kwamba angeachia bodi huru iiongoze jf kwani mathalani mmliki wa CNN ted Turner enzi hizo angekuwa ndani ya cabinet ufanisi wa CNN ungepungua ?
 
Kwa kipi boss? Andika kitu kilicho shiba ueleweke.
 
he will turn to be weak,na ufanisi wake utapungua kama sio kufa kabisa,angalia watu waliokuwa wana uwezo wao na tulikuwa tunawaaminia jinsi walivyobadilika baada ya kupewa vitengo serikalini,t.b.ctvt,wizararakatibanasheria nk.
 
Bila kupoteza muda hakuna asiyejua umuhimu wa mtanzania huyu naomba serikali imuajiri MTU huyu maana ni muhimu mnooo

Na ili kuondoa conflict of interest maxence akabidhi uongozi wa jf kwa wengine abaki kuwa mtumishi wa umma
Inaelekea hata serikali inavyotaka kumfunga hufuatilii.
 
Sijui kama ana mawazo hayo ....
Na angeajiriwa Huko asinge kuwa na mafanikio aliyoyapata sasa!

Ova
 
Inaelekea hata serikali inavyotaka kumfunga hufuatilii.
Nafwatilia sana mkuu kuna wakati inakulazimu Ku suppress ego yako kwa manufaa mapana ndio serikali ingefanya iachane na bifu nae kama lipo wamtumie kwa maslahi mapana ikiwemo kuipaisha jf zaidi kimataifa maana ni brand ya tanzania
 
We unachekesha kweli. mfano wa Prof. Mkumbo akiwa mpinzani alikuwa mtu wa maana. Tangu awe katibu mkuu wa wizara ya maji umesha msikia anavyotoa pumba? Pumba aliyofungua nayo ni ya kujibu waraka wa KKKT wa Maaskofu. Unataka na hili jembe tulipoteze?
 
Back
Top Bottom