Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,231
Kama kichwa cha habari kinavosema, ni kweli kabisa kuna madhara makubwa sana kujua jambo/mambo yanayokuzunguka, hapa nitagusia mambo machache ambayo mengine mengi yataongezeka kwenye comment zetu. Bila kupoteza nianze kugusia baadhi ya makundi,
1. Watu wenye elimu wamekuwa ni wajinga sana, yaan wamekuwa wakifanya vitu ambavyo ni vya kijinga automatic, mfano mama msomi hawezi kufua nepi yenye mavi au mkojo wa mwanaye wa kumzaa, kadhalika baba hawezi kwenda shopping akanunua nepi, badala yake atakuja na dozen ya pampas kwa ajili ya mtoto.
2. Jinsi ya kula, zamani nikiwa mdogo nakumbuka sikuwa najua umuhimu wa kula ila likizama jua nilikuwa siwezi kula labda upikwe wali nitajikaza, kwahyo nilikuwa nakula kabla ya jua kuzama chakula cha mwisho wa siku. Kilichobaki ni kunywa maji tu. Ila Leo najua umuhimu wa kula na jinsi mmeng'enyo wa chakula unavyofanyika, ila mapishi au kutafuta msosi ni saa 3/4usiku nikila tu moja kwa moja kulala, huu ni ujinga uliokuja na elimu. Tumefikia hatua yakula na vyuma (vijiko/uma) wakati tuna mikono. Huu ujinga umekuja na elimu.
3.Uvumilivu. Yaan tukiwa wadogo tulivumilia kuonewa kubaniwa mambo mengi na tuliweza maana ni wazi hayakuwa na umuhimu mfano kuzurura kucheza sehemu za maji au mashimo lakini tulitamani sana kufanya hivo, Tulipokatazwa tulivumilia tukaacha lakini Leo tunavumilia mambo ya kijinga na kutatua ujinga,
i) haja kubwa na ndogo yaan unakuta mtu mkubwa na akili timamu kavumilia kabana mkono au mavi yanamtesa lakini kajikaza tu kwa ajili anaangali mechi kati ya Russia vs Croatia wako hatua ya Matuta, lakini tukiwa wadogo tulikuwa na Akili sana kuliko mavi yanitese mwilini bora mama na wengine wateswe na harufu au kufua yaani tulijinyea na kujikojolea ili tu mwili uwe huru.. Hapa nazungumzia mtu ambaye yupo bar vyoo ni vyakutosha.
ili) njaa yaani mtoto hawezi hata kucheza mchezo aupendao endapo njaa itamuuma na ndio maana Mungu huwalinda na madhara ya njaa maana hawajui kitu. Yaan mtu mzima anayelipwa mshahara wa million 2 au laki 3 kuendelea, unamkuta kajikaza eti hadi amalizie kazi ndiyo akale, hii yote tunaifanya baada ya kujua madhara ya njaa, naandika hivi njaa inauma, lakini ngoja nimalizie Uzi ndio nile, huu ni ujinga wa kujua.
3. Kujikinga au kujilinda dhidi ya jambo baya, tumekuwa wajinga sana kwa kujaribu kitu tukiumia ndipo tuamini, unakuta wanaume hawaamini madhara ya kuwa na mademu wengi na mifano ipo mingi lakini hadi wakutane wapigane ndio tuamini kadhalika kina Dada, pia kina Dada ndio wamekuwa matahira haswa,
#MTANISAMEHE, Babu yangu alinambia mke wake/bibi yangu hakusoma kabisa lakini alishika mimba alipotaka, yaani alikuwa na vijiti 28 ambavyo alikuwa akivisogeza kila siku kimoja hadi vinaisha anapanga tena yaani hapo anajua vikibaki kadhaa sitakiwi kufanya mapenzi ila kama anataka mtoto atafanya na alikuwa anakata maua mekundu anayaweka mlangoni nyuma ya nyumba kitandani na mlango wa sebuleni halafu lazima apike chakula kizuri kuhadaa watoto wajue Yale maua ni kuashiria sherehe, kumbe kwa wakubwa ni siku za hatari (kwa akili zetu timamu tukadanganyika tukiwa na elimu nyekundu ni rangi ya upendo) au Neema kwa wenye shida ya mtoto, ila wanawake wa leo wameelimika primary na secondary lakini hawawezi kujizuia kwa hesabu ila njiti sindano na vidonge na condom. Huu ni ujinga uliokuja na Elimu.
Kiufupi naweza kusema mpumbavu usimpe elimu.
NB:sio wote wamekuwa wajinga bila 99%yao wamekuwa wajinga kwa sababu ya elimu au ujuzi walioupata.

Last edited by a moderator: