Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,529
Habari wanajf
Kuna mtu anatumia halotel amewahi kukumbwa na hii kadhia ya msg kufeli japo delivery report inaleta majibu??
HALOTEL VAS nina muda mrefu sasa huu mchezo kwangu umekua mazoea, mtu akinitumia ujumbe mfup wa maneno anasema umenifikia ajabu haujafika me nikituma hivo hivo wakat mwengine nashindwa kujua tatizo nn hasa mana ishakua kero
Huduma kwa wateja siipati kabisa hata kuongea na mhudum wenu mpaka nifunge safar ofisini kwenu muda mwengine inaniwia ugum kutokana na kutingwa na baadhi ya mambo
Naomba kujua kutoka kwenu wana jf kuna mtu anapata shida kama hii au ni mie tu??
Nawasilisha.