Jiji la Dar limeanza kuwa safi!

Jiji la Dar limeanza kuwa safi!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,473
Reaction score
31,966
Ukweli usemwe tu!
nimetembea mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam haswa haswa ile iliyokuwa ikiongoza kwa uchafu hakika nimeanza kuona mabadiliko.
Kwa sasa unaweza kuona aibu kutupa uchafu hovyo kwani unajihisi ukitupa uchafu hovyo unachafua eneo safi.
Miaka kadhaa ya nyuma ilikuwa sio tatizo kuachia uchafu popote kwani kila unapopita palikuwa na takataka.

Hongera kwa uongozi wa jiji...sasa mnatakiwa kumantain.

Naona jiji la Dar likienda kuchukua nafasi nzuri katika usafi wa mazingira.

BY CONCERNED CITIZEN!!
 
Suma JKT wameanza kazi? Maeneo gani umetembea? Kuna "garbage bins" ambapo mtu akinywa maji anatupa chupa badala ya kutembea nayo siku nzima mpaka anachoka?
 
Nakubaliana na wewe kwamba bins ni chache zinatakiwa kuongezwa
 
Sio kweli,huku ninapokaa barabarani kumejaa mamifuko ya uchafu,kwenye barabara kuu ya bagamoyo Happ tangi bovu mbezi pamoja na vibanda kila mahali mpaka kwenye barabara ya waenda kwa miguu.Sio nasema waondolewe ila utaratibu wa kuwapanga Basi kwani nao wanaonekana uchafu wasipopangwa vizuri
 
ile harufu ya kinyesi mitaa ya obama drive imeisha?
 
Back
Top Bottom