Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,981
Mimi sio mwandishi wa habari lakini sielewi kwa nini wandishi wanapotosha jamii kiasi hiki
Mtu hupata maarifa kutokana na vyanzo mbalimbali,miongoni mwa vyanzo vya maarifa ni magazeti
Mwanafunzi wa darasa la saba akikutana na gazeti kama hili limeandika TRA ya Kenya ,huyu mwanafunzi moja kwa moja ataelewa kuwa kumbe mamlaka ya mapato Kenya nayo inaitwa TRA
Wandishi wa Tanzania mnaendelea kuwafanya watanzania waendelee kuwa mbumbumbu ,wasiendelee kuelewa mambo,kwa uandishi huu Tanzania bado tupo nyuma sana