Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wanajukwaa, Nimekaa nikatafakari juu ya pesa zinazohifadhiwa katika mitandao ya simu, kama mnavyojua kifo hakina hodi, muda wowote saa yoyote chapiga hodi, na tunajua kuna utaratibu...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Tarehe 8/12/2012 siku ya jumamosi ilikuwa ni siku ya mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Tumaini cha Sebastian Kolowa, kilichopo Lushoto, Tanga. Katika mahafali hayo mimi nilikuwa mhitimu...
2 Reactions
118 Replies
11K Views
Kwa niaba ya wahehe wenzangu, tumepokea kwa masikitiko makubwa sana tuhuma zinazoendelea mtandaoni kwamba turudishe Mbwa wa Serikali aliyepotea. Naomba nitoe neno kwa ndugu zangu mliopo Dar es...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Hivi jamani hawa wanaokamata pikipiki zikiingia mjini kwanini wasipewe mafunzo maluum ya kutambua kuwa huyu ni mfanyabiashara wa bodaboda na huyu anatumia pikipiki yake kama usafiri wa kumpeleka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, natumaini mu buheri wa afya. Naomba msaada wa kupata bei za mazao yafuatayo: - Maize - Soya Beans - Sugar canes/ Sugar - Rice - Sorghum - Beef, kwa kipindi cha miaka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
19th May 2010 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, ameiponda dhana ya polisi jamii inayotumiwa na Jeshi la Polisi katika...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Umofia kwenu, Leo nipende kuleta kero ya baadhi ya mamonita madarasani. Hii inahusisha mamonita wa shule za kata hadi zile za private ambao kwa kweli wanatumia nafasi na madaraka yao vibaya...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Ni shirika la Bahati Nasibu la taifa, miaka ya nyuma lilifanya michezo na kila wiki kulikua na draw kubwa moja na draw ndogo kati ya wiki, mabanda yalitapakaa mji wote hususan hapa Dar Tickets za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NDIOO MAANA NAWAHIMIZA SIO KILA SHULE LAZIMA MTOTO WAKO AKASOME ZINGINE NI UHUNI MTUPU HAWA WATOTO WADOGO WAMEFIKA SAA MOJA NA ROBO WANAKUTA GETI LIMEFUNGWA MLITAKA WAONDOKE MAKWAO SAANGAPI...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wadau! Uzi huu si wa kidini , ila limelenga kutoa mwangaza juu ya umuhimu wa kutoa mrejesho kwa kila unachokifanya hapa duniani. Nitatumia baadhi ya mistari miwili ya biblia kuweka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Bunge lilizuiwa kurushwa live ili watu wapige kazi ikiaminika kuwa muda huo ni wa kazi,yaani hapa kazi tu!Basi ili kuifanya dhana hii iwe kweli tuzuie TV,radio na social network kuoperate muda wa...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Haki startimes hampo serious nyie Kifurushi cha nyota kwa dish na antenna tunalipa 7000 kwa antenna na 10000 kwa dish hata hazifiki channel 15 Hivi nyie mpo serious kweli????
2 Reactions
21 Replies
5K Views
MWENYE JIBU NAMPA ZAWADI YA VOCHA 1000 TIGO Nilenda bar siku ya fainali ya kombe la dunia kuangalia mechi ya CROATIA NA UFARANSA,baada ya kukaa kwenye kiti akaja dada muhudumu na akasema...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Hadi sasa jumla ya shilingi bilioni 1.3 zimeingizwa na daraja la kigamboni kutokana na tozo za vyombo vya usafiri tangia kuzinduliwa kwake tarehe 19/04/2016, daraja hilo liligharimu dola za...
3 Reactions
58 Replies
13K Views
Jana nikiwa maeneo ya Urafiki kituo cha mabasi ya Kilimanjaro nilistuka kuona vigari vidogo vingi vimepaki eneo lile wakisubiri mabasi yatakayoingia, mwanzo nilijua ni Viber tax lakini mwishowe...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
MODE MSINITOE KWENYE UZI WANGU Ukistaajabu ya Musa kwa dunia hii basi bila shaka utajionea ya firauni kwani kumekuwa na Manabii wengi kiasi kwamba wakristo wanaamini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Je wafahamu??? Kaa ukijua kuwa rais mstaafu Benjamin William mkapa kiumri ni mkubwa kuliko waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph sinde warioba tofauti na wengi wanavyofikiri kuwa warioba ni mkubwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pichani ni mawe yaliyoporomokea barabara katika moja ya kona za mlima Kitonga huko Iringa na kusababisha kuziba njia ya magari kupita. Tahadhali kwa Madereva wa Barabara ya IRINGA MOROGORO Mvua...
6 Reactions
156 Replies
25K Views
Habari wakuu, Hii habari imenishitua sana. Yaani wajawazito 975 kuwa na maambukizi ya ukimwi ni hatari sana. Hapa waume zao hawamo. Halafu mwanga yenyewe ndogo sana, haya ni maafa na janga pale...
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna baadhi ya wenzangu mmeshakutana na hali kama hiii kwa kifupi tuu. Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 mwenye maisha ya kawaida tuu lakini katika kipindi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom