Startimes hampo serious nyie elfu kumi channel 15???

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,771
Haki startimes hampo serious nyie
Kifurushi cha nyota kwa dish na antenna tunalipa 7000 kwa antenna na 10000 kwa dish hata hazifiki channel 15

Hivi nyie mpo serious kweli????
 
zuku unapata channels 45 kwa tsh. 9999 ila ss quality ya picha mbovu siyo kama startimes
 
Haki startimes hampo serious nyie
Kifurushi cha nyota kwa dish na antenna tunalipa 7000 kwa antenna na 10000 kwa dish hata hazifiki channel 15

Hivi nyie mpo serious kweli????

mara nyingine kabla hujapost kitu humu uliza wahusika! sio unakurupuka kuja kupost vitu ambavyo hujui! mimi natumia startimes na gharama na vifurushi vyao

Kwa kingamuzi cha antena vifurushi vyake
1. NYOTA-Shilingi 7000- CHANNEL 35(11 za nyumbani + 24 za nje)
2. MAMBO-Shilingi 10,000-CHANNEL - 55 (11 za nyumbani + 44 za nje)
2. UHURU -Shilingi 24,000-CHANNEL - 75 (11 za nyumbani + 64 za nje)

kwa king'amuzi cha dish vifurushi vyake
1. NOVA-shilingi 10000- channel +50
2. SMART-Shiling 19000- channel +75
3. SUPER -shilingi 36,000 channel +120

sasa wewe hujui alafu unakimbilia kulalamika tena kuposti, ili iweje!
next time jifunze
 
Mkuu hapo kwenye kifurushi cha nyota hebu nitajie hizo channel 11 za nyumbani zinazopatikana.
 
tbc
itv
eatv
chanel ten
mliman tv
tumaini tv
clauds
startv
sibuka
tabibu
dira tv
wasafi

hapo nimekutajia Chanel 12!
 
mara nyingine kabla hujapost kitu humu uliza wahusika! sio unakurupuka kuja kupost vitu ambavyo hujui! mimi natumia startimes na gharama na vifurushi vyao

Kwa kingamuzi cha antena vifurushi vyake
1. NYOTA-Shilingi 7000- CHANNEL 35(11 za nyumbani + 24 za nje)
2. MAMBO-Shilingi 10,000-CHANNEL - 55 (11 za nyumbani + 44 za nje)
2. UHURU -Shilingi 24,000-CHANNEL - 75 (11 za nyumbani + 64 za nje)

kwa king'amuzi cha dish vifurushi vyake
1. NOVA-shilingi 10000- channel +50
2. SMART-Shiling 19000- channel +75
3. SUPER -shilingi 36,000 channel +120

sasa wewe hujui alafu unakimbilia kulalamika tena kuposti, ili iweje!
next time jifunze
nyota channel 35 omg am dying acha kudanganya watu hakunaga hicho kifurushi mambo ni channel 40+ na nyota hazizidi hata 15. na zinazoonyesha ni 9 tu acha kudanganya watu
taja hizo channel zitaje acha kuongopa
 
tbc
itv
eatv
chanel ten
mliman tv
tumaini tv
clauds
startv
sibuka
tabibu
dira tv
wasafi

hapo nimekutajia Chanel 12!
Hizi channel ulizotaja labda kwa mtu mwenye dish ila wale wa antenna nina mashaka sana, pengine kila mkoa na idadi yake
 
Kweny izo 35 za nje ndio uwongo.. Kifurushi cha nyota kina chaneli 5tu za nje amabzo siyo local
 
Back
Top Bottom