Radio,TV na social networks zifungwe mpaka saa 10 jioni!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Bunge lilizuiwa kurushwa live ili watu wapige kazi ikiaminika kuwa muda huo ni wa kazi,yaani hapa kazi tu!Basi ili kuifanya dhana hii iwe kweli tuzuie TV,radio na social network kuoperate muda wa kazi ili watu wengi wapige kazi!
Hii inamaana hata kiki za JPM kupokea gawiwo tuzione kwenye taarifa usiku!
 
Tutakuwa nchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili kuzima hata redio?.Kumbuka kazi hazifanyiki mchana peke yake.Wewe unapokuwa umelala kuna watu wako wanafanya kazi halali kulingana na unyeti wake.Viwanda huwa vinafanya kazi usiku na mchana na barabara zinajengwaga usiku na mchana.Unapozima redio mchana unamnyima haki aliyekuwa usiku kazini kupata habari
 
Ili iweje? Wewe uliona ni sawa bunge live kutooneshwa?
Tech ya habari na utangazaji ndio inatumika sana zama hizi kuleta maendeleo duniani wewe unataka vizimwe...
Kweli kuna watu wa ajabu sana tanzania hii..
 
Bunge lilizuiwa kurushwa live ili watu wapige kazi ikiaminika kuwa muda huo ni wa kazi,yaani hapa kazi tu!Basi ili kuifanya dhana hii iwe kweli tuzuie TV,radio na social network kuoperate muda wa kazi ili watu wengi wapige kazi!
Hii inamaana hata kiki za JPM kupokea gawiwo tuzione kwenye taarifa usiku!
Hata hio SAA jioni na usiku ni mda wa Kazi pia,hakuna mda wakazi
 
Kuna jamaa mmoja nilisikiaga kwambaaali anasema..... Ujinga ni sawa na zigo la mavi... tehteehhh
 
Tutakuwa nchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili kuzima hata redio?.Kumbuka kazi hazifanyiki mchana peke yake.Wewe unapokuwa umelala kuna watu wako wanafanya kazi halali kulingana na unyeti wake.Viwanda huwa vinafanya kazi usiku na mchana na barabara zinajengwaga usiku na mchana.Unapozima redio mchana unamnyima haki aliyekuwa usiku kazini kupata habari
Mkuu radio ilikuwa inazimwa saa 6 usiku mkuu kwa "wimbo wa taifa" na kuwashwa saa 11 alfajiri kwa kipindi cha "kombora" labda usema itakua nchi ya kwanza kurudia utaratibu wa kuzima radio usiku
 
Bunge lilizuiwa kurushwa live ili watu wapige kazi ikiaminika kuwa muda huo ni wa kazi,yaani hapa kazi tu!Basi ili kuifanya dhana hii iwe kweli tuzuie TV,radio na social network kuoperate muda wa kazi ili watu wengi wapige kazi!
Hii inamaana hata kiki za JPM kupokea gawiwo tuzione kwenye taarifa usiku!
Halafu Mapokezi ya Gawio mtaturushia recorded ama?
 
Back
Top Bottom