Hii kali baada ya kuchukua pesa zote za korosho sasa wameamua kupora increment za watumishi ambazo ziliwekwa kisheria na kuzihamishia wanakojua wao.
Ninawaza tu baada ya kuhamisha fedha za...
Shirika la Majisafi na majitaka Dar es Salaam(DAWASCO) linawaarifu Wateja wake wote kuwa kutakuwa katizo la maji kwa siku ya Jumatano(kesho), kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 2 usiku.
> Sababu ya...
Habari zenu
Kutokana na kushamili wizi wa pesa kwa kupitia huduma za kipesa kwa simu za mkononi, na kuwepo na malamiko mengi kutoka vyombo vya ulinzi na usalama lakini bado wizi upo na unaendelea...
Nchi ya ajabu sana hii eti afisa wa tra kumiliki magari 19 na nyumba kadhaa ni kosa na ni fisadi....
VP WANASIASA NA VIONGOZI MASHIRIKA YA UMMA WANAVYOMILIKI UKWASI AMBAO HATA NI NUSU AU BAJETI YA...
Uhalisia wa mshahara wa mwalimu baada ya makato mapya ya 15% ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Baadhi ya makato katika mshahara wa mwalimu ni kama inavyoonekana kwenye mabano;-
Mfuko wa hifadhi...
Yaani kiukweli ....Upendo wa Mama nimkubwa ....lakin upendo wa mtoto kwa Mama yake ni ...Mdogo.
yaani watoto wanauwezo mkubwa wa kifedha hapa mjini lakin unakuta mama zao wanalala...
Siku zote hua naamini huko mbele watu wana akili kubwaz hasa Amerikani na Ulaya, hii haimaanishi huku kwetu hawapo lahasha ila ni vile kuna kuzidiana.
Sasa straight to the topic,
Najua...
Nimeona ktk habari ITV kuwa shule ya secondary ya Jangwani imefanya vibaya kitaifa ktk shule 353 imekuwa ya 351.
Yawezekana wakasema walimu hawawajibiki ipasavyo, ila pia wanafunzi wa hapo wengi...
Hasa ile miezi ya mwisho 7, 8 na 9 mtoto husikia sauti na huwa na huzuni mama akiwa na huzuni. Ubongo una uwezo wa kuhifadhi kumbu kumbu. Kuna miziki uliisikia ukiwa tumboni kwa mama yako na...
Mm hata sielewi kazi ya hawa mawaziri wanaotalii sehemu mbalimbali mikoa mbalimbali kudai ndio wanatenda kazi mfano lugola, kigwangala, mbarawa
KWA HIYO HUSSEIN MWINYI Na wengineo ambao hatuwaoni...
Aisee hivi huyu Ali Kiba wa ladha hizi yupo wapi?
Mackmuga,Mapenzi yana run dunia,Napenda kula,Hadithi,n.k
Leo nimeamkia nyimbo zake,aisee huyu janki alikuwa tishio,siku hizi sijui anaimba upuuzi...
Profesa Hezekiah Kamuzora mtanzania aliyeacha alama katika ulimwengu wa sayansi amefariki dunia nchini Marekani. Profesa Kamuzora alikuwa Mtu Mweusi wa Kwanza ulimwenguni kuwa shortlisted kupokea...
Nataka kufungua biashara ya duka. Nimekwenda TRA wanipe TAX CLEARANCE ili niweze kwenda JIJI kuomba leseni. TRA wananitaka nilipe kodi waliyonikadiria kuanzia Januari 2018, wakati hata hilo duka...
Habarini za wakati Ndugu katika Forum yetu hii pendwa JF.
Kuna hili neno ambalo limejizolea umaarufu na linazidi kuchanja mbuga katika ubora wake maana kila mtu analielwa na kulitumia katika...
Jamani huu utaraibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haivunji utaratibu uliwekwa na serikali wa 1/3, ? Kama kuna MTU wa benki humu anisaidiee nijue kama ule utaratibu wa ukomo...
habari za kutwa wakubwa? kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Ndugu yenu nimeaibika sana ilikua jana usiku nilienda kwa mama ntilie nilie nikaagiza wali wa buku jero (1500) nikaletewa...
Nadhani kila Mtanzania anayetumia huduma za kampuni za simu za mikononi atakuambia jinsi gani karibu kila siku anakumbana na suala na huduma mbovu za makampuni ya simu za mikononi. Uzembe...
Kampuni ya HaliHalisi Publishers ambayo Mkurugenzi wake ni Mbunge Saed Kubenea imedhamiria kurudi Mahakama ya Afrika Mashariki kesho kuomba Serikali itekeleze uamuzi uliotolewa na Mahakama hiyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.