Geita. Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Emaco Vision ya mjini Geita wamepatwa taharuki baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuna mwanafunzi alikusudia kuwawekea...
Wiki hii imeanza kwa kishindo sana , huyu Gawio yule maduhuli basi tafrani.....
Moderators kama kichwa cha habari nimekosea basi naomba kurekebishwa.
Katika haya maisha tunayoishi binadamu hua...
Jamani kuna jamaa ni mwizi wa mtandao anaitwa FAUSTINE SHIJA anatumia namba 0759543321.
Anajifanya wakala wa voda na tigo halafu anaswap laini za watu na kuiba pesa zilizomo humo pia anatafutwa...
Habari bandugu
Kwa wafanyakazi wa serikali au mwenye uelewa wa sheria mnisaidie.Katika ranks za taasisi na mashirika tumezoea kuwa na level za uongozi kama Junior Officers ,Officers,Senior...
Ni mtoto wa miaka kati ya 3- 4 ambaye alikuwa anaelekea shuleni, Naandika uzi
huu kwa lengo la kujadili mambo kama mawili tu.
1.Jinsi Polisi watakavyolichukulia jambo hili kwa mwenzao basi naomba...
HABARI ZENU WAKUBWA??
kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
ni muda mrefu hapa mtaani kumekua na wimbi la paka halafu ni wale waliokomaa (sugu) wana vichwa vikubwa na macho makali inafikia...
Almost a week ametolewa Mkurugenzi NSSF.
Leo waziri kavunja bodi.
Si bodi wala Mkurugenzi hakuna alokaa muda mrefu pale.
Je hawa nao bado wanaendelea na manjonjo ya awam ya JK?
Kunani NSSF?
Good morning Friends,
Aisee nimeumizwa sana na hichi nilichokiona leo tena asbh hii pale maeneo ya Mwenge Mataa, kuna huyu Chokoraa(mtoto wa mtaani) alikuwa anasafisha gari ya mtu binafsi kama...
Mange Kimambi Amechaguliwa kuwania tuzo ya Wanawake wenye Ushawishi wa Siasa Afrika huku yeye akiwakilisha Tanzania kama mwanmke pekee mwenye ushawishi mkubwa katika tuzo hizi barani Afrika...
Nimemsikia waziri wa mambo ya ndani leo akiongea na askari wa usalama barabarani pamoja na wadau wa sector ya utalii juu ya kero ambazo hawa traffic wanazisababisha kwa watalii kwamba kila baada...
Nimekuwa nikitazama programu za chaneli za Tv mbalimbali hapa Tanzania na nimegundua kitu ambacho napenda kuwajulisha.
Hivi taarifa ya habari kuonekana katika chaneli za ETV na Clouds TV ni...
SALAM ZANGU KWAKO LEO TAR 14/01/2018
MAWAZO YAKO YANAKUSOGEZA KARIBU NA MUNGU AU YANAKUWEKA MBALI NA MUNGU?
Mika 2:1
Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao...
Kuna mzee hapa katokea kuwa rafiki yangu. Kama mnavyojua hapa zakhemu mambo ni moto nyumba hapa zinafika hadi milion 400. Sasa mzee ana nyumba hapa watoto wamekuwa wakitaka nyumba iuzwe...
Watu wote tuliopo facebook tunapenda kushirikishana mambo yetu hasa picha nk . sababu kubwa ya kushirikishana (sharing) ikiwa ni mihemko ( emotion connection)
Watafiti wanatuambia mtu akiwa na...
Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi
huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini)
watumishi endeeni...
Mwizi katika kujitetea kakubali kaiba laki tatu mbele ya mahakama badala ya laki laki tano ya mlalamikaji anavyodai, tarehe ya hukumu imepangwa .
Nauliza ni nn kitatokea katika hukumu, msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.