Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,332
Tarehe 8/12/2012 siku ya jumamosi ilikuwa ni siku ya mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Tumaini cha Sebastian Kolowa, kilichopo Lushoto, Tanga.
Katika mahafali hayo mimi nilikuwa mhitimu mmojawapo wa mwaka huu. Mgeni rasmi alikuwa ni Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Benjamin Mkapa.
Namshukru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu japo kuwa nimekoswakoswa mara nyingi kufukuzwa chuo, Mungu aliniongoza nakila nilipo kuwa na pewa barua za tuhuma nilizijibu kwa makini sana japo wapo wenzangu ambao hawakumaliza chuo.
Nawashukru waandishi wa habari ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa wakinifuatilia utaratibu wa masomo yangu na maisha yangu ya chuo kwa muda wote mpaka na maliza.
Ndugu yangu Januari Makamba Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye kwa sasa ni Waziri na Mpinzani wangu mkuu ambaye nilichuana naye uchaguzi mkuu wa ubunge 2010 ndugu yangu Henry Shekifu mbunge wa jimbo la Lushoto hawakufika kwenye tafrija yangu ndogo baada ya mahafali na hata kwenye mahafali yenyewe sikuwaona. Kama wabunge wanapunguza CREDIT kwa wananchi kwa kutokutokea maeneo mhimu kama haya.
Kwasababu mimi ni mpinzani wao huenda walishindwa kufika kwa kuniogopa maana ndio Rais wao ajaye wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli inanipa picha kuwa Mungu anampango wake juu yangu.
DEOGRATIUS KISANDU
Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema mkoa wa TangaView attachment 74490View attachment 74491