real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Hadi sasa jumla ya shilingi bilioni 1.3 zimeingizwa na daraja la kigamboni kutokana na tozo za vyombo vya usafiri tangia kuzinduliwa kwake tarehe 19/04/2016, daraja hilo liligharimu dola za kimarekani milioni 136 ambazo ni takribani bilioni 300 kwenye ujenzi wake.
Mamlaka zinatarajia kuboresha mfumo wa malipo kwa daraja hilo uwe unatumia kadi za elektroniki
Mamlaka zinatarajia kuboresha mfumo wa malipo kwa daraja hilo uwe unatumia kadi za elektroniki