Je wafahamu???

Je wafahamu???

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
1,160
Reaction score
834
Je wafahamu???

Kaa ukijua kuwa rais mstaafu Benjamin William mkapa kiumri ni mkubwa kuliko waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph sinde warioba tofauti na wengi wanavyofikiri kuwa warioba ni mkubwa kiumri kuliko mzee mkapa....

Mzee mkapa amezaliwa tarehe 12 november 1938 wakati mzee warioba amezaliwa tarehe 3 September 1940...

[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG] ndio hiyo..
 
Wanaosemaga unene ni ugonjwa mkuje [HASHTAG]#pesa[/HASHTAG] ndio suluhisho la kila kitu#
 
Back
Top Bottom