Hivi kuna mahusiano gani kati ya Sayansi na Dini

manonawire

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
943
1,216
Habar wana JF, hv kuna mahusiano gani kati ya dini na sayansi?
Yani namaanisha maswali ambayo yana majibu kwny sayansi basi yanampinga MUNGU na yakikosa majibu jibu huwa n mpango wa MUNGU

Kwa mfano
1) Baada ya sayansi kujua kuwa kuna super natural power ina exist basi ikapinga uumbaji wa MUNGU
Hii inapinga

2)Magonjwa yote sugu yasiyo na tiba na mambo ambayo yako nje ya upeo wetu jibu lake n MUNGU
Hii inakubali

Na mifano mingine mingi unayoweza fikiria

Na kwa nn baadhi ya mambo tuegemee upande wa Dini na mengine upande wa sayansi¿¿

Na je siku sayansi iki prove kwamba mtu akifa anaenda sehemu fulani sio peponi/paradiso wala jehanamu/motoni wewe utakaa upande gani??

N mtazamo tu,hebu share mawazo yako.Nawasilisha.
 
Mkuu wewe ukiwa mtu wa imani usijaribu kitafuta proof la sivyo utakuwa disappointed tu.
Kama una amini amini tu na kama hutaki acha..
 
Siku hizi nimekuwa mvivu sana kujadili ila nna majibu yako mengi sana juu ya swali lako.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom