Human violation

Human violation

Ishemo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
194
Reaction score
128
Habari wakuu
Mimi si mwandishi mzuri
Lakini hili tukio limenikwaza mpaka
Hata link sijui namna yakuweka lakini ukiicopy ukaifungua kwa browser waweza kuona hiyo video ya askari mshenzi na mnyanyasaji

Screenshot_20180726-183116.jpg
Screenshot_20180726-182413.jpg
 
Good job camera man ..
Ila vile sijajua kosa la huyo mdada ngoja kwanza nikae kimya
 
Alichelewa kwenda Bank akaingia kumbe Bank walishafunga mahesabu naye anataka atoe pesa
 
Back
Top Bottom