Mkoa wa Ruvuma

Mkoa wa Ruvuma

Chozilaurithi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
120
Reaction score
55
Mkoa wa Ruvuma ni mkoa unaopakana na nchi ya msumbiji na malawi kwa upande wa kusini lakini mkoa huu pia hauna itikadi kinzani za kisiasa yaani unaongozwa na Chama tawala katika majimbo karibia yote ni mkoa unaofaa kuigwa na mikoa mingine kwa upande wa kumuunga mkono mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom