TANZIA: Meneja wa TBL Mwanza afariki ajalini

TANZIA: Meneja wa TBL Mwanza afariki ajalini

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,160
Kwa masikitiko makubwa Nimepata habari ya Msiba wa Seba Nungu. Aliyekuwa Meneja wa kinywaji Maarufu cha TBL kanda ya ziwa NZAGAMBA. Kilichotokea juzi tar.25.07.2018 RIP Seba.

Wadau wa Bia wa Mtwara,Dar,Moshi na Mwanza tutakukumbuka.

img-20180725-wa0075-jpg.820682
 
Last edited by a moderator:
kuzimu hakunaa biaa, na sikumeneja akifa watu watakunywaa biaaaa ni siku akiondoka piaaa mtakunywa zake biaaaav.....twendeeeh
 
Rest in peace manager wa kinywaji cha TBL! Sijui ni kinywaji gani hiki?
 
Back
Top Bottom