usafiri wa basi unavyoharibu tumbo

usafiri wa basi unavyoharibu tumbo

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,769
Reaction score
960
Assalam wakuu,
nadhani mu wazima wadau, niende direct kwenye mada, kuna kijana wa miaka 26 kila akipanda gari hasa daladala kwa umbali wa Gerezani hadi Gongolamboto na basi za mikoani huwa haimuachi salama kwani hupatwa na
1/kuvurugika kwa tumbo hasa gari inapopita barabar mbovu
2/hali huwa mbaya zaidi kwa barabara zenye mashimo au kuyumbayumba kwa gari lenyewe
3/tumbo huwa kama limejaa vile
4/hali ikizidi huwa anacheua kabisa
5/tena ikijaza na hakuna hewa ya kutosha hali huwa mbaya
6/tumbo huwa kama lina baridi
7/hali inapokuwa mbaya zaidi huanza kuvuja jasho hata kama iwe usiku au kwenye baridi kwani jasho hilo sio la joto la hasha
8/humlazimi hadi kushuka then hupumzika kama 0.5hr na kupanga gari lingine kuendelea na safari
9/akipata harufu ya mafuta ya ndani ya gari i.e dizeli na oil inayoungua ndo hali huzidi mara dufu
10/Akipanda car hakuna tatizo
JE HUYU MTU ANA TATIZO GANI NA NINI AFANYE
 
Anunue gari yake tu mkuu hamna namna
 
Ana mzio na magari nadhani kakosea kuzaliwa zama hizi alitakiwa kuzaliwa zama za mfalme daud
 
7/hali inapokuwa mbaya zaidi huanza kuvuja jasho hata kama iwe usiku au kwenye baridi kwani jasho hilo sio la joto la hasha
Hii sio dalili nzuri

Aende hospitali akacheki sukari.
 
Ngoja kuna rafiki yangu ana kijana wake 6yrs ana similar shida kuna dawa wanampa kabla ya kutravels nitamuulizia then will be back here with majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom