Matoke form six:wanaume wang'ara top ten!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Top ten nzima yachukuliwa na wavulana.muhagachi chacha[kibaha sec] ndiye wa kwanza,samweli katwale[mzumbe sec] ndiye wa pili na abdallah salim[FEZA sec] kashika nafasi ya tatu ila shule iliyofanya vizuri zaidi ni MARIAN GIRLS SEC SCHOOL.
 
Big up boys, time to regain our position, after being out of game for long time. Hope the feminist groups won't protest with their notation of "mfume dume".
 
Nilipoona kichwa cha habari akili yangu ilinituma kwenye matoke (mchanganyiko wa ndizi na nyama)!
 
...muhagachi chacha[kibaha sec] ndiye wa kwanza,samweli katwale[mzumbe sec] ndiye wa pili na abdallah salim[FEZA sec] kashika nafasi ya tatu
Naomba kueleweshwa.

Chacha kashika nafasi ya kwanza maana yake nini, ni yeye aliyepata pointi tatu (A-A-A) peke yake Tanzania nzima?
 
Naomba kueleweshwa.
Chacha kashika nafasi ya kwanza maana yake nini, ni yeye aliyepata pointi tatu (A-A-A) peke yake Tanzania nzima?
Okay,grade A kama haijabadilishwa,ina range from(71~100),huenda waliopata(A-A-A) ni wengi ila wanatofautiana kwa average hivyo Chacha atakuwa na wastani mkubwa zaidi.
 
Okay,grade A kama haijabadilishwa,ina range from(71~100),huenda waliopata(A-A-A) ni wengi ila wanatofautiana kwa average hivyo Chacha atakuwa na wastani mkubwa zaidi.
Hayo ya A ya 70% na A ya 99.9% sisi hatujatangaziwa. Wameambiwa tu una A-A-A, period. Sasa tutaambiwaje mshindi wetu fulani wakati hatujatangaziwa matokeo ya huyo mshindi? Sielewi. Matokeo ya huyo mshindi yaliyotangazwa watu kibao wanayo! Huyu mshindi kapata nini, A+?
 
Back
Top Bottom