Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Bora gari kuliko nyumba. Gari ni nyumba tosha kabisa.Unaweka vitu vyako vyote na unaenda mahali popote pale na unaweza kulala popote pale.
Ukichoka mpe mlinzi tu buku akulindie gari yako nje ukiwa umelala mpaka asubuhi.Unabetua tu kiti unalala safi kabisa.
Wanangu na mke wangu hawalali nje kabisa.Nalipa kodi.Hawalali nje kamwe.
Mpka nyumba iishe ni stages nyingi sana na ni time wasting.