Nimebadilika baada ya kuona hii documenty wa wachina jinsi wanavyofanya maintenance

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Juzi nilikuwa naangalia documentary fulani ya wachina inaitww Major Project. Aisee nilishangaa sana jamaa walivyo serious na kumaitain hizo project. Mfano wanavyokagua madaraja.. Reli.. vichwa vya treni etc.. Mfano kwenye madaraja yao kila usiku kuna team ya kwenda kukagua.. wanatumia technologia ya kisass kweli kweli. wakati naaangalia jamaaa walivyo serious na kukagua na kurepear miundombinu yao. Mara hapa nyumbani nashangaa Dada anavyopambana kuufunga mlango.. Malango umekuwa mgumu lazima utumie nguvu kweli kweli.. Kwenda chumbani mlango ukifunguliwa unapiga kelele kweli kweli.

Nikaona kweli sisi Waafrica hatuna tabia ya kufanya mtce. Kesho yake nikamtafuta fundi mbao. kuja nyumbanj kaniambia elfu 10 tuu kurekebisha milango yote..
kurudi nyumban jioni milango yote inafunga bila kelele..

kuangalia nyavu za mbu kwenye madirisha ya Aluminium nazo zimetoboka toboka.. Nampigia fundi anasema ninunue nyavu yeye atakuja kurekebisha kila dirisha elfu 3.
Kunw cha kujifunza hapa..tujifunje kufanya matengenezo ni rahisi sana
 
Last edited by a moderator:
Ungeweka na hiyo video ingependeza zaidi. Sasa mabeno haya matupu hata hueleweki. Hii ni sawa na chai bila sukari.

Basi tupe hata link tukaangalue wenyewe.
 
Mkuu unaonekana upo vizuri Sana kwenye lugha ya kiingilishi... Naona kiswahili kimekutupa mkono kabisa unaandika Kama Jiwe
 
Juzi nilikuwa naangalia documentry fulani ya wachina inaitww Major Project. Aisee nilishangaa sana jamaa walivyo serious na kumaitain hizo project. Mfano wanavyokagua madaraja.. Reli.. vichwa vya treni etc.. Mfano kwenye madaraja yao kila usiku kuna team ya kwenda kukagua.. wanatumia technologia ya kisass kweli kweli. wakati naaangalia jamaaa walivyo serious na kukagua na kurepear miundombinu yao. Mara hapa nyumbani nashangaa Dada anavyopambana kuufunga mlango.. Malango umekuwa mgumu lazima utumie nguvu kweli kweli.. Kwenda chumbani mlango ukifunguliwa unapiga kelele kweli kweli.
Nikaona kweli sisi Waafrica hatuna tabia ya kufanya mtce. Kesho yake nikamtafuta fundi mbao. kuja nyumbanj kaniambia elfu 10 tuu kurekebisha milango yote..
kurudi nyumban jioni milango yote inafunga bila kelele..
kuangalia nyavu za mbu kwenye madirisha ya Aluminium nazo zimetoboka toboka.. Nampigia fundi anasema ninunue nyavu yeye atakuja kurekebisha kila dirisha elfu 3.
Kunw cha kujifunza hapa..tujifunje kufanya matengenezo ni rahisi sana
Documenty ni kitu gani hicho au ni mimi ndiyo sijaelewa ulichomaanisha au?
 
Back
Top Bottom