Nidhamu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ ) hakika ni ya kutukuka

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kiukweli Jeshi letu JWTZ ni moja ya Majeshi yenye nidhamu ya hali juu sana Katika Medeni za kijeshi.

Hii imekuwa ikitolewa kama mfano ktk mezani za kimataifa hasa JWTZ wanaposhiriki mission tofauti chini ya Umoja wa Mataifa kama Majeshi ya kilinda AMANI Yale maeneo yenye migogoro ya kivita wenyewe kwa wenyewe.

Ni nadra sana kusikia JWTZ wamefanya matukio yasiyo ya kinidhamu kijeshi ktk hizo mission ukilinganisha na Majeshi kutoka nchi nyingine.

Hongera sana makamanda kwa mafunzo kwa vijana wetu wa Jeshi la Ulinzi kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Tanzania na watanzania wako na nyingi kwa hali na Mali kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama toka adui yoyote yule.
 
JICHANGANYE UONE....
 
Waulize huko kigamboni na maeneo wanayokaa karibu na kambi za Jeshi watakusimlia acha kukariri au kukaririshwa!!!La Tundu Lissu limekushinda umerukia hili nalo litakushinda!!!!!
Ukiwachokoza watakufundisha na kukutia adabu
 
Heshima ipi tena hiyo?
Ni ile ya kumpigia saluti Bashite?

Au ni ile ya kudaiwa kugeuzwa kuwa chombo cha kueneza propaganda cha CCM?

Au ni ile ya kugeuzwa kuwa chombo cha kisiasa cha watawala?

Au ni ile ya kushiriki kukimbiza mwenge?

Au ni ile ya kudaiwa kuanza kulipa kidogo kiidogo pesa wanazodaiwa na TANESCO?
 
Kama hujui kazi ya Jeshi kaa kimya...unachanganya kazi za Jeshi na bill za Umeme wewe?!?
 
Tuhuma kuwa Rais Magufuli analindwa na kikosi toka Rwanda ni aibu kwetu ...lazima msemaji wa serikali atoke hadharani...juu ya hili.
Vyombo vya ulinzi haviwezi kubali hii aibu ....Rais na amiri jeshi...mkuu kulindwa na wageni ?????? Tumekosa watu ?

Kingine kwanini rais hajiamini namna hii mbele ya jeshi anaogopa nini ...au kwakuwa sio raia ....alikuwa anaita askari Ikulu kuwapa nyota ...baada ya majenerali kumwambia sio utaratibu aende chuoni kwao ..bado anaogopa kawaita uwanja wa...mpira shame ..shame ..shame .....
Hakuna rais duniani ambaye ameshindwa kufika vyuo vya kijeshi kutimiza majukumu yake kama amiri jeshi mkuuu,Hiii ni aibuuu
Aibu
Aibu
 
Nalipa pongezi jedhi letu kwa kazi wanayo ifanya anae bisha na kuzalau jeshi ajalibu aone ndipo atajua lina nguvu kiasingani au linambinu kiasingani naona kuna watu hua wanajalibu sumu kwakulamba jeshi halijalibiwi ukifanya uhalifu linakulamba halijali sula
 
tupo vizuri lakini msitujaribu, hatujaribiwi sisi...
Hili jibu limenichefua, tatizo lenu ni kujivika utukufu kupita mnavyostahili. Msijaribiwe kwa kuwa ninyi ni nani?ni kwa kujua kutumia bunduki na mabomu? Utadhani ninyi ni very special. Hamuugui kwani?hamuumizwi kimapenzi? hamlii misibani?hamkopi hela? Hamkuzaliwa? Sasa mbona nikiangalia naona ninyi na sisi tuko sawa. Na kama tuko sawa kwanini tusiwajaribu? Huo upekee wenu ni upi basi? Ninavyojua ni Mungu pekee asiyejaribiwa. Comment yako ni ya kukurupuka. Sio kosa lako. Tatizo huwa mnakuwa trained hivyo hamjui namna ya kutoa maoni.
 
Back
Top Bottom