Nini kimeisibu hii redio Triple A FM Arusha

dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,849
2,036
Radio hii iliyokuwa ikisikika katika masafa ya 88.5 MHz sasa haipo hewani huko Arusha kwa zaidi ya wiki.
Pia hawapatikani kwenye namba zao za simu. Nani anajua kinachoendelea kuhusu radio hii ya bilionea Papaa King?
 
Nina muda mrefu sana sijaisikiza hiyo Redio ni kutokana na muda mwingi kujipatia habari na burudani humu humu JF.
Nb: mimi ni mkazi wa Arusha.
 
Back
Top Bottom