Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,594
- 43,029
Japo serikali haijatangaza ila kwa sisi wakulima na wafanyabiashara ya chakula tushaona dalili hivyo wekeni akiba mfano huu ni msimu wa mavuno ya mpunga na mahindi lakini kilo ya mchele tayari ni 1500 wakati mahindi debe ni 7000 vijijini na 9000 mijini
Weka update ya mazao hayo popote ulipo
Weka update ya mazao hayo popote ulipo