GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
" Sisi Wanazuoni ( Wasomi ) na Wataalam wa masuala ya Management tunamkubali sana JPM sasa Wewe uliyebaki huko ni nani kutuzidi au kama vipi jitokeze basi tuweze kukujua ".
Nikiri tu kuwa hata Mimi namkubali mno Rais JPM lakini siwezi kuwa mdhaifu wa Kiakili na nikawaaminisha Watu wengine wakubaliane na ninachokiamini kwani logically tu kwa kufanya hivyo nitakuwa siitendei haki dhana nzima ya Demokrasi na uhuru wa kujieleza na kuamini hisia za Mtu mmoja mmoja.
Kauli ya Dkt. Norman Sigala imenishangaza na kunisikitisha mno kwani hata kama anataka labda kusamehewa dhambi zake za ' Ufisadi ' wake ambao leo nauweka ( Kapuni ) huku akitaka kusamehewa deni lake kubwa ( ambalo naliweka Kiporo kwa leo ) siyo kwa Kujipendekeza huko ambako amekufanya leo akiwa Pugu.
Watanzania leo Dkt. Norman Sigala ametudharau mno na nianze tu kwa kumwomba afute kauli yake upesi kama siyo haraka sana kwani ' inakera ' na ' kuudhi ' kwa wengi pia. Hivi aliposema kuwa kama Wao wanazuoni na wataalam wa Management wanamkubali JPM na sisi wengine tunaompinga ni nani na tujitokeze ili watujue anataka kumaanisha nini? Hivi Dkt. Sigala anataka kusema kuwa waliompa Kura zile takribani 8,000,000 JPM wote walikuwa ni Wanazuoni na Wataalam tu wa Management? Hivi Wasomi nchi hii ya Tanzania kwa ujumla wao wote wanazidi hata 3,000,000?
Mwisho nitoe tu RAI enyi ' Wapuuzi ' ambao hamjiamini kwa Elimu zenu mlizonazo na mnataka Vyeo jitahidini sana kuacha ' Kujipendekeza ' kwa Watawala na badala yake jikiteni katika kuamini ukweli na uhalisia uliopo.
Dkt. Norman Sigala nakumbuka hata wakati wa Kampeni za JPM ndiyo ulikuwa ukiisema mno CCM katika Vijiwe vyako ( ambavyo unavijua ila hapa sivitaji ) na pia nakumbuka ndiyo ulikuwa ukiendekeza kumpiga ' majungu ' JPM hasa Kitaaluma wakati wa Kampeni zake halafu leo unataka tena kutudanganya Watanzania au unadhani hatukujui in and out?
Leo hii unajiita eti Wewe ni Mtaalam wa Masuala ya Management na kwamba umebobea lakini hapo hapo unasahau kuwa hata Chuo chako tu cha GENESIS umeshindwa kukiendeleza na sasa kinajifia huku ukijitahidi tu kukihamisha kutoka Kinondoni jirani na Mahakama na sasa umepata tu hifadhi katika Majengo ya Marafiki zako.
Nilikuwa nafikiria kusoma sasa ili na Mimi niweze angalau kuwa na Ka Masters kangu kisha nianze kufanya PhD yangu huko baadae ila kama wenye hizo PhD ndiyo wana fikra hizi mbovu na za ' hovyo hovyo ' kama za Dkt. Norman Sigala nadhani ancheni tu nibakie na hii Shahada ( Degree ) yangu kwani naona naitumia vizuri tu hata kuliko hao ' wanaojiita ' Wanazuoni na Wataalam wenu wanaojitutumia kuwa na Elimu kubwa ya katika ' Makaratasi ' lakini ' upstairs ' ni bure kabisa.