Vitendo vya Ugaidi ni miongoni mwa stori zinazoshika na kuweka headlines kubwa sana duniani, na kwa sehemu nyingi za dunia vitendo hivi sio vya mchezo kabisa.
Kutokana na ukuaji mkubwa wa vitendo...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wafanyabiashara kufanya usafi katika maeneo ya maduka yao.
Amesema atakayeshindwa kufanya hivyo, atakamatwa na askari wa Jeshi la Kujenga...
Kwa muda mrefu kumekuwa na hoja kutoka kwa wana CCM kwamba kwa nini Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa muda mrefu kama kwamba ni mfalme na kwa nini hataki kupisha watu wengine wakiongoze chama hicho...
Naomba maoni na mitazamo yenu kuhusu hali ya nchi juu ya haki ya raia kujieleza au kutoa maoni yake nashangaa kila kukicha habar za kuzuiwa bila sabab hiyo sio kwa wanasiasa tu bali hata wasio...
Habari wadau
Niliamua kuja kusalimia huko nyumbani lakini kila nikitafakari kauli ya lugola ukitua hapo ukitaka kutoka lazima uwasilishe mikataba ya kazi kidogo inaniwia ugumu na naona dalili ya...
1.Kauaminiwa na watu sana wakati huna chochote.
2.Kuombwa ushauri na idadi kubwa ya watu hata waliokuzidi umri na wakati mwingine kwa mambo makubwa ambayo hujawahi kuyapitia mfano ushauri wa ndoa...
Tafsiri ya jangwa iko wazi... Ni mahali pasipomea... Sehemu kame kabisa... Jua kali pamoja na joto kali mchana... Usiku baridi kali na wakati mwingine upepo pia.. Jina la sehemu yenye jangwa...
Kampuni ya Earthwise Ferries (T) LTD ambayo imeleta boti ya kisasa MV Bluebird kwa ajili ya safari za Bukoba na Mwanza imepunguza nauli kutoka Tshs 50,000 hadi Tshs 30,000 kuanzia tarehe...
Ndugu watanzania wenzangu mnaotumia kisembusi cha Azam,, kutokana na sintofahamu inayoendelea Azam TV Nimeamua Rasmi kutokulipia gharama za kifurushi chao hadi hapo watakapojirekebisha.
1...
Wakuu salaam sana,
Leo nimeshangaa nimetafuta cement toka asubuhi ndio nabahatisha jioni hii mifuko 5 tu,kwani kuna shida gani mfuko @15,500 hapa tu kiluvya dsm
Yaani inagombewa
Wadau leo nimefanywa vibaya kuna jitu nimelipa maelekezo liniingizie cash kwenye line ya Zantel basi lenyewe limeniingizia muda wa maongezi wa pesa hiyo sasa hapa kichwa kinauma.
Kama kuna...
Taarifa tu
Kwanza nawapa pole woote kwa msiba wa ndugu yetu King Majuto(rip) na pole sana kwa Mwenyekiti wa kamati za mazishi za wasaniii naona kazi inaendelea
Kupanda kwa gesi
Kuanzia jana...
Habari wakuu
Naomba msaada nimekwama kwenye upande wa methodology katika research Area
Tittle yetu ni: Assesment of community participation in constituent development funds projects in Dodoma...
Leo alfajiri nikiwa naskiliza Radio ya Taifa TBC...ilikuwa ni Hotuba ya Baba wa Taifa Mzee J.K. Nyerere na yafuatayo ndio niliyoyasikia, nanukuu kama NILIVYOSIKIA:
"...tumelima wote, basi mwisho...
Wakuu wa nchi natumaini mnaendelea vizuri,
Naomba kuuliza kama kuna mahali naweza kupata bima ya afya, nimeenda NHIF. Naona masharti yao kidogo ni magumu, unatakiwa kulipa million 1.5 kwa mwaka...
Hivi chama tawala kingeitisha mazungumzo ya amani na vyama vyoote vya siasa inchi kungekua na ubaya gani.
Maana kila kukicha vyama pinzani vina lalamika kwamba vinaminywa kufanya mikutano...
Hii ni hospitali ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili, (MUHAS) iliyopo katika Kampasi ya Mloganzila. Historia ya chuo hiki inaanzia mwaka 1963, pale serikali ilipoanzisha Shule...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Tatizo Waane anasema msukumo wa kawaida wa damu ni 120/80 mmHg. Mtu atabainika kuwa na shinikizo kubwa la damu...
habari Zenu wakuu nataka nije nifanye tukio la kipekee kwenye nchi hii ili niweze kukumbukwa na vizazi vijavyo kwamba alikuepo fundi bishoo alifanya tukio fulani
sasa nawaza nifanye tukio lipi la...