Tangu azam warushe tukio la kupokelewa ndege na baada ya siku chache wakaacha kurisha taarifa ya habari ma badala yake wanaelekeza watu wakaangalia taarifa ya habari kwenye App.
Mwanzo tulidhan...
Nina binamu zangu wanasoma shule ya msingi huko mwandege wilaya ya mkuranga kesho wameniambia niwatumie fedha za matumizi maana kuna mtihani wa mock mkoa hapo shuleni kwao Sasa swali langu kesho...
Mwenyekiti wa serekali ya mtaa kivukoni, kata ya kivukoni wilaya ya ilala, bwana Makame. ameaga dunia ghafla baada ya plesha kupanda na ikapelekea kuanguka, na kukimbizwa muhimbili ambapo ameaga...
BARAZA la Taifa la Elimu na Ufundi (Nacte) limezuia vyuo 163 kudahili wanafunzi katika kozi mbalimbali ngazi ya astashahada na shahada, baada ya kukutwa na upungufu ikiwako kutokuwa na walimu...
Kama nlivyosema hapo juu. Wanawake msiyona na mishe jiongezeni na sisi wanaume wanaikaa na wake zao, tujaribu kuwawezesha wanawake wasikae tu majumbani bila mishe yoyote.
Nmepita sehem nakuta...
OFISI ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetangaza nafasi 121 za kazi mbalimbali kwa Watanzania. Mwisho wa kuomba kazi hizo ni Agosti 16, 2018...
Jamani huko walioko jiji na kwingineko, kulikoni maana ghafla channel za ndani isipokuwa zbc, zbc2 na tbc zingine zote zimeondolewa ghafla jamani kulikoni, anayejua atusaidie kutujuza
Wanajamvini miaka 10 ya Mh Mrisho mimi sikumbuki hata iliishaje nilikuja kustukia tu uchaguzi Mara uncle Magu siku zimegoma kbs kusogea au majira yamebadilika masaa yameongezwa badala ya 24...
MWANANGU ALICHUKUA MBEGU ZA MAHINDI AKAZIMWAGA SHAMBANI,ZILIOTA NA KUTOA MAVUNO YAKUTOSHA.
ILA NILIPOANZA KILIMO NA KUFUATA UTARATIBU WA KISAYANSI:MBOLEA BORA,ARDHI NA MBEGU BORA MAGONJWA...
Wengi wenu kama siyo wote ni wanachama wa TLS lkn labda msichokifahamu ni tls imetekwa na inatumiwa na wachache kwa manufaa yao binafsi na siyo yenu, watu wa immma &Co. wanaitumia tls kupigania...
Ofisi za Chama kikuu cha Upinzania Tanzania chadema , ukilinganisha na vyama vingine vya Upinzania Afrika!
vs
MDC -Zim
Upinzani Kenya
Ofisi Upinzani Malawi!
Wimbi la wizi wa TV FLAT SCREEN TU LMV umeshamiri sana. Kuanzia Tabata, Kinyerezi, mitaa yote ya Mbezi Louis hadi Salasala na Bunju. Wajuaji hawa wanakata grill za dirisha kuingia na kuiba. Pamoja...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima amepata kibali cha ajira mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hivyo anakaribisha...
Ipo picha ina tembe huko instagram.
Inamuonesha bashite akiwa na mkewe nnyuma kuna bendera ya taifa.
Sijui sana mambo ya protocal. kwa wajuzi wa mambo haya hili limekaaje? je ni sahii kwa mteule...
BENKI ya Wananchi Tandahimba (Tacoba) mkoani Mtwara, imesema inatarajia kuwakopesha wavuvi ili kuongeza mtaji na kuboresha shughuli zao na hatimaye kuchangia pato la taifa.
Ofisa Maendeleo ya...
Simu kwa asilimia kubwa ni kitu cha kwanza kwa wengi wetu kukitazama asubuhi na kitu cha mwisho kukiangalia usiku kabla ya kulala. Simu zetu haziko mbali nasi na tunaziangalia kila baada ya dakika...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi Mia moja na Hamsini (150) hadi Mia tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.