Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,991
Ipo picha ina tembe huko instagram.
Inamuonesha bashite akiwa na mkewe nnyuma kuna bendera ya taifa.
Sijui sana mambo ya protocal. kwa wajuzi wa mambo haya hili limekaaje? je ni sahii kwa mteule wa rais kupiga picha na mwandani wake mbele ya bendera yetu?
Nawasilisha?