Wanasheria Tanzania amkeni, mnatumiwa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Wengi wenu kama siyo wote ni wanachama wa TLS lkn labda msichokifahamu ni tls imetekwa na inatumiwa na wachache kwa manufaa yao binafsi na siyo yenu, watu wa immma &Co. wanaitumia tls kupigania maslahi yao nje na ndani ya nchi lkn wanawatumia ninyi kama Wanachama, lkn hakuna kitu mtapata, na kama mnabisha hili nitajieni tu kitu kimoja ambacho tls chini ya Tundu Lisu na sasa F.Karume imekifanya au kupigania kwa manufaa yenu ninyi Wanasheria milioko Mikoani, jibu ni hakuna.

Lkn wanahitaji uwepo wenu ili wawe na namba na wakienda huko kwa Muzungu kupigania maslahi yao wanatumia neno tls, amkeni na fanyeni Mapinduzi chukueni tls yenu, ...
 
Ni kweli wanatumika kama condom raha wanakula wengine na baada ya tendo condom inatupwa chooni.
 
Mpe hekima mwenye hekima azidi kuwa na hekima!
That’s all!
 
Hebu punguzeni kuwa WAPU.MBAVU! Unaweza kusema Ni kwa namna gani tunatumika tofauti na ilivyokuwa Awali kabla ya Lissu na Karume? Is there a single cent from TLS paying salaries to IMMA Advocates? Or running the daily business of Imma Advocates? Umeona ushiriki wa TLS kwenye individual businesses za watu wa IMMA? Kwa taarifa yako na kawaambieni na Waume zenu, HATUPANGIWI VIONGOZI Kama mnavyowafanyia TUCTA au CWT! Tutachagua hata Mlevi ilimradi tu, Hakuna mkono wa Serikali dhidi yetu!
On the other hand, Lissu ndani ya miezi Yake takribani minne ya uongozi wake amepunguza mlundikano wa Ada na michango iliyokuwa mzigo kwa mwanachama, amefanya membership to other societies Kama EALS kuwa optional tofauti na zamani, kwa uwepo wake uamuzi wa kujenga Ofisi za TLS ulianza kufanywa kwa vitendo tofauti na Awali ambapo michango ya Ujenzi ilikuwa ikipigwa na maccm yaliyokuwa kwenye uongozi wa TLS!
DONT TEACH US WHAT IS GOOD FOR US!
 
Wengi wenu kama siyo wote ni wanachama wa TLS lkn labda msichokifahamu ni tls imetekwa na inatumiwa na wachache kwa manufaa yao binafsi na siyo yenu, watu wa immma &Co. wanaitumia tls kupigania maslahi yao nje na ndani ya nchi lkn wanawatumia ninyi kama Wanachama, lkn hakuna kitu mtapata, na kama mnabisha hili nitajieni tu kitu kimoja ambacho tls chini ya Tundu Lisu na sasa F.Karume imekifanya au kupigania kwa manufaa yenu ninyi Wanasheria milioko Mikoani, jibu ni hakuna.

Lkn wanahitaji uwepo wenu ili wawe na namba na wakienda huko kwa Muzungu kupigania maslahi yao wanatumia neno tls, amkeni na fanyeni Mapinduzi chukueni tls yenu, ...
Form Four Leaver kweli amzidi mwanasheria kwa kujitambua?? acha utani kaka
 
Back
Top Bottom