mansolata
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 502
- 319
Habari zenu wakuu..
Mlio kaziwa vyuma poleni ,ila mpambane mpaka pumzi ya mwisho...
Mliolainishiwa vyuma hongereni ..ila kumbukeni parapanda litalia......"ROSTAM"[emoji13] [emoji13] ..
Karibuni.....
Watanzania tumekua watungasera hodari mno (tafakari),tatizokubwa ni utekelezaji wa Sera hizo.
Tumekua wapambanaji wa kupenda sifa tusizo stahili hususani viongozi wetu wa kisiasa....
Kwa kipindi cha karibuni tumewashuudia majirani zetu wakenya wakipaa kataka anga za kimataifa kupitia michezo hususan Riadha...[emoji6] fedha [emoji13] shaba[emoji15] dhahabu....hizo ni medali zinazo itangaza Kenya kimataifa kupitia mchezo wa Riadha .
Ukichunguza majina ya wanariadha wengi wa Kenya utagundua wametoka katika jamii ya kifugaji hususan WAMASAI ,,"swali" kunatofauti gani kati ya Mmasai wa Kenya na Tanzania?
Wizara husika ingetengeneza mazingira yenye kuvutia jamii hizi manufaa yangeonekana .....lakini kazi iliyobaki nikuwashuhulikia akina ROSTAM...[emoji85] ...[emoji125] ....[emoji379]
Huu ni wakati wa kutumia michezo hii kwakua uwezo tunao tuweke nia tuitangaze nchi yetu kimataifa.
Kwakuligundua hili nchi yetu itapata sifa na itakua fursa ya kuutangaza utamaduni wetu kimataifa, hivyo kuchochea sekta ya utalii badala ya kutumia [emoji574] [emoji573] kuuimarisha.
Ushuhuda: Nimebahatika kupata elimu yangu ya sekondari katika mkoa Arusha ,nimeishi na jamii za kifugaji pale shule ....Wamasai ...Wasonjo... Wabarbaig(Mang'ati) nk....
Hizi jamii kwenye Riadha zikitumika vilivyo zingetutoa kimasomaso.
Hebu fanya unguzi wa haraka utabaini wale wakimbiaji maarufu hapa Tanzania wote wametoka kwenye jamii hizi.....
Nitarudi ......
..