Check status ya maisha yako then angalia marafiki zako na life status yao.
Huwezi kutegemea kuwa na hela wakati marafiki zako karibu wote hawana hela.Na hawana vitu 'concrete' vya kupata pesa...
Ukienda misituni na mbugani kuna njia rasmi ambazo ni mapito ya wanyama, hata maji yana njia na mapito yake binadamu, na vyombo vya usafiri pia kila kimoja kina njia yake rasmi.... Baadhi ya njia...
Shuhuda mmoja aliyekuwepo mwenye uokozi amedai kwamba dereva wa Waziri Kigwangalla anastahili pongezi kwa sababu kama angemgonga tu yule twiga basis asingepona MTU mle garini. Amesisitiza kuwa...
Tanzania kama nchi masikini(sio changa) msingi mkubwa wa kuiinua ni kufanya kazi.
Ni kwa kufanya kazi pekee ndiko kutakakofanya pato la mtanzania mmoja mmoja likue na multiplier effect yake pia...
Uoga unakufanya umsifie mtu hata kama hana sifa hizo ili wewe uendelee kuwa katika nafasi uliyo nayo Au akupe nafasi unayoiitaji
Uoga ulisababisha wazawa katika nchi zilizotawaliwa na nchi...
Mwanafunzi huyo anatuhumiwa kujiunga na kikundi cha uhalifu cha Kamchape ambacho kinajihusisha na ukabaji na uvunjaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa...
Habari kutoka kwa wataalamu wa anga wanatushirikisha habari ya kupatwa kurefu kwa mwezi kwa karne hii ya ishirini na moja. Kupatwa huku kutatokea kati ya Ijumaa na Jumamosi wiki hii. Mabara yote...
Anaitwa Kevin Peter Hall, au unaweza kumwita ( the predator )
Kwa wale ndugu zangu wenye kumbukumbu na mapenzi ya movie za kimarekani jina PREDATOR litakuwa si geni kwenu maana kazi yake haikuwa...
Mimi nina mkataba na Azam Television kwa kununua kifurushi chao kila mwezi ili nipate kufuatilia vipindi vyote vinavyoonyeshwa kupitia television yao.
Kwanza walianza kufuta matangazo ya taarifa...
Tendo la ndoa huaminika kuwa miongoni mwa mambo ya kale zaidi. Bila shaka, binadamu hawangeendelea kuwepo bila kujamiiana. Lakini jinsi jamii mbalimbali zinavyoshiriki katika tendo hili pamoja na...
Habari za majukumu ndugu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale....
Niende mojakwamoja, nimepata taarifa kuwa nchi ya JAPAN italazimika kusogeza MASAA mawili (2) MBELE kutokana na nchi...
Baada ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gilles Muroto kutuhenyesha na kuturusha kwa Msemo wake uliobamba Nchi wa "Watapata Tabu Sana" pamoja na Watapata Kipigo cha Mbwa Koko," the one and...
SIKU za kuaga dunia iliyowekwa na Mungu ikitimia, mja hana hiyari, ataacha vyote na kurejea mavumbini, ndivyo msichana Asha Kilimba (26) ambaye ni bibi harusi mtarajiwa mkazi wa Kinondoni Shamba...
Bila kupoteza muda naomba kujua tofauti ya kimaisha kwenye Miji ya London Rome Paris Berlin Moscow new York Madrid na Lisbon
Vigezo vikuu viwe ukarimu uchumi usalama biashara higher learning...
Mwenezi wa ccm Mr Polepole amenukuliwa akisema hakuna mwanachama wa ccm atakayechukua fomu za kugombea majimbo ya Monduli na Ukonga kwa sababu kuna wagombea tayari ambao ni Kalanga na Waitara,full...
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amewataka wote wanaoendesha shughuli za kilimo na ufugaji katika misitu ya Ruvu Kusini na Kazimzumbwi wilayani humo kuondoka mara moja kabla hajatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.