kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,423
- 16,197
Nina binamu zangu wanasoma shule ya msingi huko mwandege wilaya ya mkuranga kesho wameniambia niwatumie fedha za matumizi maana kuna mtihani wa mock mkoa hapo shuleni kwao Sasa swali langu kesho ni sikukuu ya nanenane hawa wanafunzi Na serikali Kwa ujumla hawana mapumziko au ni kutafuta Kiki,je kisheria ipoje