WANAWAKE MNAYOKAA TU MAJUMBANI JIONGEZENI:

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
Kama nlivyosema hapo juu. Wanawake msiyona na mishe jiongezeni na sisi wanaume wanaikaa na wake zao, tujaribu kuwawezesha wanawake wasikae tu majumbani bila mishe yoyote.

Nmepita sehem nakuta mdada anaangalia movie ananiambia hii season ya 80 toka aanze kutazama namba moja. Nmetafakar na kuwaza kama angekua anauza mchicha leo angekua na kiasi gani.

Nkaona nishare kwa wanawake waliyopo jf kama nao wako hivyo naomba wajiongeze.

Na sisi wanaume kwa kila mmoja wetu ajaribu kumuwezesha mwenza wake kama bado hajamuwezesha tusiwe wanaume vilaza.

Mwisho nawatakia wanawake wote mafanikio mema.
 
Ulipokuwa na mhusika, ukawaza tu, huku ndio unakuja kutujuza?!
 
Umeongea point nzur,
Lakini ttzo wengi wao wakishapata uhuru wao na tufedha kdg migogoro ndo huanza.
inategemea na mwanamke..sio wote halafu pesa inatafutwa so jitahidi uwe na nyingi kumzidi maana uchumi wa familia unatakiwa kuwa controlled na baba
 
Wewe ambaye huangalii season Mashamba yako ya mchicha umelima wapi?
wewe ambaye huangalii movie unautajili upi ebu tuwekee hapa,
ww ambaye huangalii movies mkeo ana mashamba ya mbogamboga?
EBU ACHENI KUWAPA WANAWAKE MAJUKUMU AMBAYO HAWAKUPEWA NA MUNGU;
Kazi ya mwanamke ni kumfurahisha mmewe, kujipodoa na kuiandaa kwa ajili ya usiku! wakati anamsubiri mmewe shart ajiliwaze na movies
 
Mkuu , Ujifunze kumpenda mwanamke wako kwa kile ulichompendea yeye.

Vyuma kukaza visiwafanye mbadilishe Majukumu tulopewa ya kiumbaji hata siku moja.

Toka zaman sana, mwanaume lazima upambane kuhakikisha Familia inasonga mbele.

Mimi Nitaoa , Namoja yakitu ambacho sitokiangalia ni kazi au kujishugulisha kwa mwanamke,,, Ili mradi tu atanihakikishia masuala ya nyumban yanarun vzur basi yeye kua mama wa nyumba tu Ni safi sana na inatosha kwangu.

Usimuone mzigo mwanamke ulomuoa kwa ndoa eti kisa hajishuhulishi....ukumbuke kua Ulimpenda sababu ya macho yake?? Makalio?? Kucha??? N.k
 
Hujui madhara yanayoweza kutokea ktk ndoa pindi uchumi wa mwanamke ukiimarika, kama familia inakuelemea sio sote.
 
Kama nlivyosema hapo juu. Wanawake msiyona na mishe jiongezeni na sisi wanaume wanaikaa na wake zao, tujaribu kuwawezesha wanawake wasikae tu majumbani bila mishe yoyote.

Nmepita sehem nakuta mdada anaangalia movie ananiambia hii season ya 80 toka aanze kutazama namba moja. Nmetafakar na kuwaza kama angekua anauza mchicha leo angekua na kiasi gani.

Nkaona nishare kwa wanawake waliyopo jf kama nao wako hivyo naomba wajiongeze.

Na sisi wanaume kwa kila mmoja wetu ajaribu kumuwezesha mwenza wake kama bado hajamuwezesha tusiwe wanaume vilaza.

Mwisho nawatakia wanawake wote mafanikio mema.
We huu mda ungekua unalima au hiyo bundle uliyoweka jf tangu ujiunge humu, ungetumia kama mtaji ungekua wapi?
 
Kama nlivyosema hapo juu. Wanawake msiyona na mishe jiongezeni na sisi wanaume wanaikaa na wake zao, tujaribu kuwawezesha wanawake wasikae tu majumbani bila mishe yoyote.

Nmepita sehem nakuta mdada anaangalia movie ananiambia hii season ya 80 toka aanze kutazama namba moja. Nmetafakar na kuwaza kama angekua anauza mchicha leo angekua na kiasi gani.

Nkaona nishare kwa wanawake waliyopo jf kama nao wako hivyo naomba wajiongeze.

Na sisi wanaume kwa kila mmoja wetu ajaribu kumuwezesha mwenza wake kama bado hajamuwezesha tusiwe wanaume vilaza.

Mwisho nawatakia wanawake wote mafanikio mema.
Naomba nikupe like ya dhahabu maana hii ni pont muhimu sana
 
Mkuu , Ujifunze kumpenda mwanamke wako kwa kile ulichompendea yeye.

Vyuma kukaza visiwafanye mbadilishe Majukumu tulopewa ya kiumbaji hata siku moja.

Toka zaman sana, mwanaume lazima upambane kuhakikisha Familia inasonga mbele.

Mimi Nitaoa , Namoja yakitu ambacho sitokiangalia ni kazi au kujishugulisha kwa mwanamke,,, Ili mradi tu atanihakikishia masuala ya nyumban yanarun vzur basi yeye kua mama wa nyumba tu Ni safi sana na inatosha kwangu.

Usimuone mzigo mwanamke ulomuoa kwa ndoa eti kisa hajishuhulishi....ukumbuke kua Ulimpenda sababu ya macho yake?? Makalio?? Kucha??? N.k
Neno "Makalio" ungekoleza wino mkuu maana mwenye makalio anajiamin kuliko mwenye bachelor.
 
Back
Top Bottom