NAFASI ZA KAZI 16 HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA

NAFASI ZA KAZI 16 HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA

neema shamuhenya

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
312
Reaction score
216
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima amepata kibali cha ajira mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa zinazotakiwa kujaza nafasi zifuatazo:-

ed1.PNG

ed2.PNG

ed3.PNG
 
Hii Itilima iko Tanzania pande zipi ?
 
Duh qualifications msala kwangu
 
Kwanini local government wanachukua watumishi wenye elimu ndogo(vilaza?
 
Back
Top Bottom