Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za usiku huu wakuu. Nina imani viongozi na wahusika wa suala hili wanapita katika forum hii, maana kwetu watu kama sisi ndio sehemu pekee ya kutolea maoni, kero, na vitu kama hivyo. Mimi...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Stendi ya Kariakoo Gerezani imevamiwa na wamachinga mpaka kero , ni shidddda!!!! Sehemu za Abiria kusimama kwa ajili ya kusubiria daladala zote zimefunikwa na wamachinga pamoja na bidhaa zao. Viti...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kawaida yangu wanajf leo nilikua na mtu wangu anafanya kazi TCRA nikawa namuuliza kuhusu local vipi mamlaka na serikali imeshindwa kudhibiti wakati local channel ni haki ya kila mtz yaani...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Tanzania ndio Nchi pekee Dunian ambayo wananchi wake hawajui watakacho mpaka ulimwengu utakapokuja twaliwa na muumba ulimwengu.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Oyo oyooo ! 'Mambo mwemwele. Bia ndogo TZS 1,000. Wazee wa safari , serengeti, kilimanjaro ndo mpoo? Ukiwa na elfu 10 unakunywa bia 10 saafi bila shida yoyote. Mambo safi sana mjini. Huwezi...
15 Reactions
129 Replies
29K Views
Hbr wanajamvi Nakumbuka enzi za uongozi wa Mh JK binafsi nilikuwa nachukia sana utawala wake kutokana na tuhuma za rushwa ufisadi.Cha kushangaza zaidi ezi za JK pamoja na hizo tuhuma maisha...
8 Reactions
27 Replies
5K Views
Wap wanauza almond au loz kwa shinyanga au mwanza
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima kwenu....kwa yoyote aliewah kukaa jela au hata mahabusu emu tushare experience hapa kwa kweli.kumbuka kwend jela sio lazima uwe umefanya kosa kwel unawez kukamatwa tuu hata kwa...
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Amani iwe juu yenu. Ndugu zangu nimekuwa na ndoto ambayo imekuwa ikinitesa sana katika maisha yangu, Ni ndoto ya kutamani siku moja nimiliki kampuni ya UOKOAJI katika majanga mbalimbali...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu. Nakumbuka miaka miwili iliyopita, ilikua ukiposti jambo la kuomba ushauli, unapewa ushauli wa mzuri mpaka ubatamani ushinde online jf. Cha kushangaza kipindi hiki ukipost ombi la...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Dodoma. Mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Itega iliyopo jijini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu ikiwamo kumkaba na kujaribu kumuibia mama yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tabasamu la matumani...Hongera sana Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kwa kuendelea kuwapa faraja viongozi pale wanapopata madhila makazini umekuwa unawatia moyo wa matumaini.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Aslaam aleykum, Nina jini amenijia jana majira ya usiku wa saa 8 nilipokuwa nimeketi najisomea kitabu cha dini. Akaja, akanisalimia kwa salamu ya dini yangu, akajitambulisha kwamba yeye ni jini...
4 Reactions
159 Replies
19K Views
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii kitu,mtanzania/mwafrika mwenzangu,unadhani elimu hii inafaa kwa watoto wetu,maana wazungu wanawafundisha watoto wao,na hii topic ipo kwenye...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nawasalim wote wanajamii forums, Haya ndiyo nisiyoweza kuyasahau ktk maisha yangu yote! Ilikuwa mwaka 2016 nikiwa naishi kinondoni mtaa wa moscow. Nilikuwa nimepanga chumba kimoja. Nanilikuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametaka teknolojia mpya ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi inayooneshwa kipindi cha Maonesho ya maadhimisho ya Wakulima na Wafugaji maarufu kama...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Nimerudi. Nilikuwa ban eti kwasababu nimemsema vibaya Kangi Lugola, but anyway! Sasa bwana, kwa kipindi nilipokuwa Ban, ikabidi nijipe shughuli i.e. kunotice mambo mbalimbali hapa...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 22, mwanafunzi katika chuo kikuu maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Nina akiba ya shillingi laki tatu (300,000) nahitaji kufanya biashara yoyote ndogo hususan kwa kipindi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimefahamiana naye huyu ndugu na best yangu wa karibu. Yeye anavodai hajasomea music ila ana kipaji tu kajaaliwa. Ukimuona huwezi kumdhania kama ana talent nyingi kiasi hicho...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Back
Top Bottom