wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,084
- 1,072
Walitwa vyangudoa,dada poa,mipanya,mi fisi,mipanya buku, wadudu ila 2018 wamepewa jina la "wahamiai haramu"
Nazungunzia wale Dada zetu wanaotusaidia kupunguza ugumu..wanaopatikana almost kila mtaa wa sinza na hasa ile mitaa kona bar,..mori na kwa LA chazii.
Kariaoo mitaa ya keys hotel, temeke sugar ray bar zamani..now kisumo,Tabata bar zote mpya mpya wapo tegeta wakumwaga. .kifupi wametapakaaa.. na jina lao jipya ni Wahamiaji haramu.