Hapo kitambo kidogo ilikuwa kawaida kusikia wanawake wamepigana au kutupiana maneno kwenye bomba la maji moja ambalo lilikuwa linatoa maji mara moja kwa wiki huku TV zikiwa ndo habari muhimu kwao...
Mod plz edit title "inatumika". thanks
Nimefatilia uzi wa tuhuma kumhusu supertsar wa bongo Zamaradi Mketema, naona wengi wanaomtetea/wako upande wake...WHY? au ndo kusema huyu Dada ana...
*Kwa muda sasa Wananchi wa tanzania wamehimizwa kwa kiasi kikubwa sana na mamlaka ya mawasiliano(TCRA) wachukue hatua ya kununua ving'amuzi kwa ajili ya kuhamia mfumo wa Digitali.
*Tarehe...
Salute.wakuu katika maisha kila MTU kuna kitu au jambo analolipenda katika ndoto zake kabla umauti haujamchukua hivyo kwa upande wangu natamani sana niwe mtayarishaji wa picha video mkubwa ila...
Naomba nizungumzie shule za boarding zilizoko katika jamii ya wamasai zikiwemo Moita , longido na nyingine nyingi. Kwa bahati mbaya wakuu wa shule hizi ni wamasai na uongozi wa shule...
UYUI ni miongoni mwa Magereza makubwa yaliopo nchini Tanzania, lipo katika mkoa wa Tabora. Gereza hili huchukuliwa kama gereza la kanda ya Magharibi yani hujumuisha magereza ya Kigoma, Shinyanga...
Masinki ya kupitishia haja ndogo mengi ni mabovu na yanatuamisha mikojo...harufu ukiingia humo ni kali,...havifanyiwi ukarabati wala usafi....hivi hizo MIA TATU TZS 300 tunazolipa mnafanyia...
Jeshi la Polisi Kituo cha Central Police Dar es Salaam kinamshikilia Mtuhumiwa anayetambulika kwa jina la *Mark Malima* (pichani) wa Kampuni mojawapo ya kudai madeni kwa kosa la kujifanya Mtumishi...
Wazee za mchana,
Dah nipo samwea hapa napata lunch mgahawa flani wa kihindi nimekaa karibu na wadada wa kihind ila wanaongea kiswanglish.
Maongez yao yakanivuta, mara ghafla nasikia " YAANI ALIVO...
Mwaka 1984 nilikuwa miongoni mwa watanzania wazawa wachache waliobahatika kununua mashati new fashion ya juliana.....Mashati yaliyosemekana kuleta ugonjwa ama kuja na ugonjwa usiotibika wa...
Kayaandika haya kwenye Fesibuku...
"Kuna ule utani wa zamani wa Nyerere na Jomo Kenyatta.
Mwalimu alimwambia Jomo '...unaongoza watu waliolala'
Jomo akamjibu...'wewe unaongoza maiti"
#Hata kama ni...
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga...
Hamjambo wadau na wataalamu wa TV production and filming,
Kwanza nitoe heshima kwa MASOUD KIPANYA kwa ubunifu wake wa kuanzisha reality TV show iitwayo MAISHA PLUS, shindano hili limemaliza miaka...
Salaam wanajf,
Jamani natambua umuhimu na jukumu la kutoa habari na burudani hasa kituo bora kabisa cha Clouds, ila tu nadhani jamaa wana matangazo mengi sana yani yakianza ni dk 10 bampa to...
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank...
Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley, Jensen Natal na mwanasheria wa kampuni hiyo, Edward Mroso kwa tuhuma za kuikosesha serikali kodi...
Nimejaribu kufikiri kwa muda na nikaona hii sio sahihi kabisa. Mtu unalipia king'amuzi ili uangalie angalau mshikemshike then unaletewa tangazo eti uangalie kupitia app. Sasa si gharama juu ya...
Mheshimiwa waziri anayaehusika, SSRA saidia kutatua changamoto za wafanyakazi ambao ni wanachama wa NSSF. Kuanzia mwaka 2016 nimekuwa nikiangaika kutafuta mafao yangu utoka NSSF bila mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.