Vigogo wawili wa bodi ya kahawa (TCB) washikiliwa na TAKUKURU Kilimanjaro

Jul 30, 2018
13
12
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Kilimanjaro inawashikilia “vigogo” wawili wa Bodi ya Kahawa nchini (TCB) .

Wanaoshikiliwa wametajwa kuwa ni pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Fedha ,Esther Mlay pamoja na Mhasibu wa Bodi ya Kahawa,Hashim Mohamed wanaodaiwa kuficha nyaraka muhimu zinazohusiana na ubadhilifu wa fedha za umma.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom