Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,983
*Mabenki yanafilisika
*Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa huku zikiwa zimebaki siku chache ligi kuanza
*Local chanels zimeondolewa kwenye ving'amuzi
*Uzalishaji madini ya Tanzanite umeshuka
*Bei ya Saruji imepanda bei maradufu
* Kampuni za ujenzi zinafunga ofisi zao wanaondoka
*Wabunge na madiwani wanahama vyama kila kukicha
*Kila mwezi wananchi wanaenda vituoni kupiga kura
* Polisi wanapiga raia
*DC na Rc wanaweka wananchi ndani bila sababu licha ya waziri Jafo kupiga marufuku lakini wateule wa Rais bado wanatunishiana misuli
Nini kinachoendelea Tanzania?
Hii ndo Transition ya kuelekea nchi ya viwanda?