Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,200
- 2,603
Hamjambo wadau na wataalamu wa TV production and filming,
Kwanza nitoe heshima kwa MASOUD KIPANYA kwa ubunifu wake wa kuanzisha reality TV show iitwayo MAISHA PLUS, shindano hili limemaliza miaka kadhaa tangu lilipoanzishwa huku likiendelea kuboreshwa miaka hata miaka ili liendelee kukidhi mahitaji ya watazamaji,
Kwa mfano nakumbuka kwenye MAISHA PLUS SEASON ONE, kuna mhusika alikuwa anaitwa ABDUL alifanya vyema pamoja na wenzake kwenye shindano hili ambapo washindi hujinyakulia kitita cha fedha kadhaa.
Lakini kama tunavyojua kuwa hakuna vitu vizuri vilivyo vya bure, hivyo basi hata show ya MAISHA PLUS itakuwa inamfaidisha mr, Kipanya kwa kiasi chake. Nauliza tu wataalamu wa mambo haya, je show ya Maisha plus inatengenezaje pesa?
Tuelimishane maana na mimi nina idea ya TV SHOW ambayo nahitaji kuiuza kwa makampuni ya TV production lakini kabla ya hatua hiyo naomba kufahamishwa kuhusu suala hili.
Unapojibu usisahau kuweka anwani za makampuni ya Kitanzania yanayojihusisha na kununua au kuingia ubia wa kudevelop concept/TV show idea pitch kwa ajili ya kutengeneza TV show.
Karibuni.