Video director.

Video director.

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
487
Reaction score
780
Salute.wakuu katika maisha kila MTU kuna kitu au jambo analolipenda katika ndoto zake kabla umauti haujamchukua hivyo kwa upande wangu natamani sana niwe mtayarishaji wa picha video mkubwa ila cjui nianzie wapi sijui kama nimeeleweka yaani ni deal na picha za filamu na muziki.hivyo naomba kujua kwa hapa dar es salaam sehem gan naweza kupata kozi..Mimi nipo DSM.0657536080.
 
Back
Top Bottom