Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maelezo ya TCRA yanaonesha kutulinda watumiaji wa FTA channels ili tuzipate bure. Kama king'amuzi kimeisha basi wakate za wageni ila za nyumbani zibaki hata kama mtu kashindwa kulipia subscription...
0 Reactions
90 Replies
22K Views
Mji mkuu wa Indonesia Jakarta ni nyumbani kwa watu milioni 10 lakini mji huo pia unazama kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa hatua hazitachukuliwa sehemu za mji huo mkubwa huenda zikazama kabisa ifikapo...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
*RC HAPI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA* Na Dennis Gondwe Afisa Habari, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Kufuatia malalamiko ya wananchi Juu ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
KAMPUNI zinazomiliki minara ya kurusha matangazo ya televisheni zimetoa siku 30 kwa wamiliki wa vituo vya televisheni nchini kulipa gharama za kila mwezi vinginevyo zitaondolewa katika minara...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
- Jamaa mmoja nchini Zimbabwe alingia hospitalini hadi katika wadi ya wanawake na kulala na mkewe aliyelazwa humo - Mwanamke huyo alieleza kuwa hangeweza kumkataza maana mumewe huyo angemjeruhi...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza na mamia ya watu yafurika kwenda kumtazama na huku akihifadhiwa kwenye zooo na kuwa kivutio cha utalii kwa watu! Maswali: 1. Nani kathibisha...
1 Reactions
49 Replies
15K Views
*Life* 1. A guy met one of his classmates several years after school and he could not believe his eyes; his friend was driving one of the latest stylish Mercedes Benz cars. He returned home...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar za leo ndugu wanabodi, Sitaki kuwachelewesha...nisaidieni namna nzur ya kumuombea mtu kifo na kitokee Kuna mtu najua akifa lazma nitapanda daraja,wajinga wanaohama kutoka upande mmoja kwenda...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
Fly over ya Tazara itafanyiwa ukaguzi wa mwisho tarehe 25/08/2018 na baada yaj hapo itafunguliwa rasmi. Hayo yamesemwa na Mtendaji mkuu wa Tanroads mhandisi Mfugale. Source TBC habari!
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwa hali ya kawaida Taifa lisilo na wasomi, maedeleo huwa ndoto kufikiwa. [emoji117] Hii inafanya kuwepo kwa mkinzano kufikiwa malengo tarajiwa na kwa wakati [emoji117] Changamoto zilizopo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mahusiano ni jambo la msingi katika kufikia nalengo tarajiwa kati ya pande husika Hii ina faida lukuki zikiwepi kufahamiana, kuimarisha kazi na hata kuleta tija katika kuhudumia jamii Na pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wale mliokuwa mnajifanya hamuangalii TBC1 sasa itakula kwenu!!! sasa inakubidi uwafahamu watangazaji wako mahiri, vipindi vya elimu kama:- 1. Zamadamu 2. Malenga wetu 3. Mkoa kwa mkoa 4. Utalii wa...
3 Reactions
27 Replies
11K Views
kwa mara nyingi nimerejea JF baada ya kupata changamoto mwaka 2015 iliyofanya nishindwe kuendelea kuwa active JF.. Nashukuru Mola leo baada ya miaka mitatu nimerejea nikiwa na Nguvu za kutosha...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa maafuru kama 'mahakama ya mafisadi' ,imetupilia mbali maombi ya dhamana ya vigogo wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Jeshi la polisi limefika Ngole kutekeleza amri ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya Tayari kijiji kimezingirwa na kila kona kuna polisi wanakamata watu ovyo ovyo ,huku wananchi wakikimbia kijiji hicho na...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
UKUTA wa Mawe ambao umeangua chini, kufuatia nguvu za maji zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya Tabia nchi, ukuta huo ulijengwa na wananchi wa Msuka bandarini, kwa lengo la kuzuwia maji ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nawauliza watanzania waliosoma au kufanya kazi au kuishi nje ya Tanzania. Mnapata wapi courage ya kurudi na kuishi kwenye nchi yenye shida kama hii? Ni uzalendo? Umeshindwa kupambana huko...
21 Reactions
654 Replies
61K Views
TRA itaanza msako wa bidhaa kutoka nje hasa kutoka nchi zinazoizunguka Tanzania Mikakati hiyo ambayo itasimamiwa na TRA na jeshi la polisi watapita nyumba hadi nyumba,duka hadi duka kusaka bidhaa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna taarifa inayosambaa kuhusu kinachodaiwa taarifa ya ubalozi mmoja kuhusu masuala ya ndani ya nchi. Tunajiridhisha. Tutatoa tamko punde.
0 Reactions
50 Replies
5K Views
WHO yaiorodhesha Tanzania miongoni mwa nchi tisa hatarini kukumbwa na Ebola. via vidokezo.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom