Wapi naweza kubadili dolla za kimarekani za mwaka 2003?

Upanga

Senior Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
145
Reaction score
50
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
 
Dola za Marekani zina expire date, hizo katupe.
 
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
Kuna mtu karikoo ananunua pesa za zamani na mbovu
 
Zishaisha muda
Wanatoa dollar kila baada ya miaka 10
 
Huko wapi. Hizo zinabadiliswa ila kwa bei ya chini. Unawezapata kwa bei ya 2000 hadi 2200 kewa dola moja, badala ya bei ya 2270.
 
ndio umuelekeze sasa", pakwenda kuzi change"
 
Kama uko Dar,tafuta bureau de change inaitwa Kariakoo Bazaar huwa wanazichukua ila rate itapungua kidogo.
 
Ndiyo maana nimemuliza youko wapi. Kuna maduka mengi tu ya kubadilisha fedha yanapokea hizo za 2003

Thanks kwa msaada wakuuu nitaenda hapo Kariakoo Bazaar nitawapa mrejesho aksanteni sana
 
Tazama in box yako
Nimekutumia jina la hiyo Bureaude change japo Kwa utaratibu Wao rate kidogo huwa inabadilika inakuwa chini kiasi
 
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu

Nenda benki nmb tawi lolote. Cha msingi isiwe imechakaa
 
Elimu zaidi inatakiwa juu ya fedha za kigeni.

2003 hadi Leo ni miaka 15 , imezidi miaka 5 ya kui
kupungua thamani.

Tafuta wanaonunua Pesa chakavu, Utauza kwa nusu ya thamani yake.
 
Back
Top Bottom