mangapi yameenda viral kwenye international community and nothing happen!!!Wameshasema...yeye atawafanya nini.
Hata europian commision nao walitoa tamko na Mahiga akatoa lake...then what? Issue ni kwamba hilo la USG limeshakwenda viral kwenye international community. Hiyo tu basi.
Naunga mkono. Wale wanaomuunga mkono mwenyekiti wako wapi watoe tamko la kuilaani USA kuingilia mambo ya ndani ya uongozi huu uliowekwa na mungu?
Tutawawekea vikwazo vya kiuchumi hao Marekani,wasiingile mambo yetu ya ndani.
Wakati wa kuiba na kuumiza wapinzani mliona raha sana, sasa mmeanza kumulikwa na mataifa makubwa mmeanza kupepereka kama kuku aliyekatwa kichwa.Kuna taarifa inayosambaa kuhusu kinachodaiwa taarifa ya ubalozi mmoja kuhusu masuala ya ndani ya nchi. Tunajiridhisha. Tutatoa tamko punde.View attachment 837067