Naweza kumuombea mtu kifo na akafa?

Naweza kumuombea mtu kifo na akafa?

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,888
Reaction score
13,645
Habar za leo ndugu wanabodi,
Sitaki kuwachelewesha...nisaidieni namna nzur ya kumuombea mtu kifo na kitokee
Kuna mtu najua akifa lazma nitapanda daraja,wajinga wanaohama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine wa barabara hawatakuwepo,akifa mtu huyo hapa nyumbani najua watoto wake watalia sana hasa huyu asie na makaratasi ya baraza...lkn watoto wa majirani watafurahi sana
Akifa huyu ninayetaka kumuombea kifo lazma hapa nyumbani maisha yatakuwa Poa kiasi
Mungu sikia kilio changu!
 
Wakati nasoma kuna walimu hasa wa NIDHAMU nilikuwa natamani waugue hata kwa siku mbili tu, ili maisha ya shule yawe na kauafadhali kidogo.

Mpaka namaliza shule zote..sijapata kuona mwalimu ambaye wanafunzi hawampendi anashidwa kuhudhuria shuleni kisa shida ya ugonjwa...

Wasiopendwa huwa wanaishi sana....wanaopendwa huwa wanatoweka mapema (sio principle)

Mawazo ya usiku
 
Inawezekana Fanya hivi
Nenda dukani kanunue kamba ngumu ya katani au hata manila ingia nayo chumbani kwako ukiwa pekeako huku ukiwa umebeba stuli ya rangi nyeusi hakikisha na wewe umevaa nguo rangi nyeusi ukifika chumbani ifunge hiyo kamba juu af tengeneza kitanzi kisha panda kwenye stuli vaa kile kitanzi shingoni baada ya hapo fumba macho tegua ile stuli ianguke ili wewe ubaki pale juu
Ukija kufungua macho hutamuona tena Huyo jirani yako
 
Usimuombee mwenzako kifo kisa cheo angalia usije ukatangulia yeye akabaki anandunda
 
Wakati nasoma kuna walimu hasa wa NIDHAMU nilikuwa natamani waugue hata kwa siku mbili tu, ili maisha ya shule yawe na kauafadhali kidogo.

Mpaka namaliza shule zote..sijapata kuona mwalimu ambaye wanafunzi hawampendi anashidwa kuhudhuria shuleni kisa shida ya ugonjwa...

Wasiopendwa huwa wanaishi sana....wanaopendwa huwa wanatoweka mapema (sio principle)

Mawazo ya usiku
Kuna ka ukweli kiasi, wanaochukiwa sana wanadumu and vise Verser
 
Wakati nasoma kuna walimu hasa wa NIDHAMU nilikuwa natamani waugue hata kwa siku mbili tu, ili maisha ya shule yawe na kauafadhali kidogo.

Mpaka namaliza shule zote..sijapata kuona mwalimu ambaye wanafunzi hawampendi anashidwa kuhudhuria shuleni kisa shida ya ugonjwa...

Wasiopendwa huwa wanaishi sana....wanaopendwa huwa wanatoweka mapema (sio principle)

Mawazo ya usiku
Kwa sababu wenye upendo husaidia wengi kwenye jamii, na vile watu wengine ukiwasaidia roho flani mbaya huwaingia kukufanyizia ili uache kusaidia wengine, wenye roho mbaya hudumu vile hutekeleza kazi ya mvovu kutesa
 
Watu wazuri hawadumu, wabaya na wachukiwao sana huishi muda mrefu..maoni tu.
 
Ivi unapoenda kule porini kwenu kumsalimia babu, huwa hakufundishi kulenga kwa mshale ama mkuki??? ninaamini wengi wetu tungekua na ujasiri wa kuua japo digi digi, ama kuchinja kuku..... walah usingefikiria njia hiyo....... hakuna jambo linalotokea kimuujiza mjomba..... go and do it yourself bro.... utaimbiwa nyimbo za shangwe siku unaingia valhala
 
na anavyo ogopa kufa sasa, kama anajua kifuatacho huko kuzimu. kuna jamaa aliota tu kuwa kafa igawa nongwa
 
Labda kama ni mtu anaechukua watu msukule , muombee kifo ikiwezekana mchukue nae msukule. Watu hao wafutike katika uso wa dunia .
 
Sio kila mtu akiomba mtu fulan yampate mabaya yanampata


Huwa inategemea na nafasi ya kiroho aliyonayo yule anaeomba either kwa Mungu au kwa shetani kama huna hiyo nafasi mabaya hayawezi mpata huyo mtu
 
Habar za leo ndugu wanabodi,
Sitaki kuwachelewesha...nisaidieni namna nzur ya kumuombea mtu kifo na kitokee
Kuna mtu najua akifa lazma nitapanda daraja,wajinga wanaohama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine wa barabara hawatakuwepo,akifa mtu huyo hapa nyumbani najua watoto wake watalia sana hasa huyu asie na makaratasi ya baraza...lkn watoto wa majirani watafurahi sana
Akifa huyu ninayetaka kumuombea kifo lazma hapa nyumbani maisha yatakuwa Poa kiasi
Mungu sikia kilio changu!
Kuna jamaa anaweza hiyo kazi, ili uamini anakufanyia wewe jaribio.
 
nuia huku umefumba macho ukivuka barabara mtu wako atakata roho baada ya wewe kufika upande wa pili.
dawa hii inatakiwa kufanyika barabara yenye magari mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom